Hizb ut Tahrir / Uingereza: Je, Erdoğan ana Kheri kwa Uturuki na Uislamu?
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Je, kuna umuhimu gani wa uchaguzi wa rais nchini Uturuki kwa Waislamu ndani na nje ya nchi hiyo? Na ni matokeo gani yanayowezekana kutokea kufuatia uchaguzi wa Erdoğan au Kılıçdaroğlu?