Wilayah Syria: Kisimamo cha Kambi za Al-Karame "Kufungua Vita vya Pwani Ndiko Kutakakoiangusha Serikali ya Muuwaji"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo baada ya swala ya Ijumaa katika kambi ya Ataa iliyo katika mkusanyiko wa kambi za Al-Karame viungani mwa Idlib kikitoa wito kwa vikundi kufungua eneo la pwani ili kuiangusha serikali ya mhalifu.