Jumamosi, 28 Shawwal 1446 | 2025/04/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Amerika:

Kongamano la Khilafah 2025 “Ulimwengu uko katika Njia panda: Mgogoro wa Kimfumo na Njia ya Kusonga Mbele”

Hizb ut Tahrir/Amerika inaandaa kongamano lake la kila mwaka la Khilafah kwa mwaka huu, 2025, chini ya kichwa:

“Ulimwengu uko katika Njia panda: Mgogoro wa Kimfumo na Njia ya Kusonga Mbele”

Jumamosi, 6 Shawwal 1446 H sawia na 5 Aprili 2025 M

Ili Kutazama Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano

Bonyeza Hapa

- Video za Amali ya Kongamano la kila Mwaka la Khilafah 2025 -

Hotuba ya 1 ya Kongamano la Khilafah

Barakoa Imepomoka

Mtazamo wa kina wa ukinzani katika Maadili ya Kimarekani. Vita vya Gaza vimeonyesha kila mtu mtazamo wa kibaguzi ambao Maadili na sera za Marekani zinautekeleza.

Mzungumzaji: Harris Abu Nurayn

Hotuba ya 2 ya Kongamano la Khilafah

- Misheni ya Gaza -

Maelezo ya kutisha ya mfumo wa huduma ya afya wa Gaza, ukiwa umeharibiwa na uvamizi, daktari anatoa mtazamo wa kina juu ya maumbile ya mzozo kupitia uzoefu kibinafsi wa moja kwa moja.

Mzungumzaji: Dkt. Abu Rafai

Hotuba ya 3 ya Kongamano la Khilafah

Waislamu wa Marekani: Jukumu la Ndani ya Nchi na Kilimwenguni

Mzungumzaji anajadili kile ambacho Waislamu nchini Marekani wanaweza kufanya ili kuchangia mabadiliko katika ulimwengu wa Kiislamu.

Mzungumzaji: Dkt Mohammed Abdullah

- Video Fupi ya Kongamano la kila Mwaka la Khilafah 2025 -

- Ualishi wa Kushiriki Kongamano la kila Mwaka la Khilafah 2025 -

[Ualishi wa Kwanza]

[Ualishi wa Pili]

- Alama Ishara za Kongamano -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Amerika:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Akaunti ya X ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Yaliyomo ndani ya kifungu hichi: « Hizb ut Tahrir / Amerika Ujumbe wa Idd ul-Fitr!

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu