Tanzia ya Wabebaji Ulinganizi Wawili
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Jordan inaomboleza kwa Umma jumla wa Kiislamu, Ndugu Jihad Abdulqadeem Zalloum, mmoja wa mashababu wa Hizb ut-Tahrir, na mtoto wa Amiri wetu na Sheikh aliyetangulia,
Kitengo cha wanawake katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan kiliandaa warsha ya wanawake kwa anwani "Ubebaji Ulinganizi wa Kiislamu" iliyo wasilishwa na Mheshimiwa dada Najah Al-Sabatin (Umm Mu'adh)
Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia: