Alhamisi, 16 Rajab 1446 | 2025/01/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Pakistan: Kampeni "Tunakataa Matusi kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)"

Baada ya jarida la vichekesho la Kifaransa la Charlie Hebdo, kurudia tena kuchapisha michoro ya vikaragosi vya kumtusi Mtume Muhammad (saw) kabla ya kesi ya mshtakiwa kwa shambulizi la makao yake makuu mnamo 2015, lililopelekea vifo vya wafanyikazi 12. . Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan imezindua kampeni pana katika mitandao ya kijamii dhidi ya matusi ya mara kwa mara kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).

Ewe Mwenyezi Mungu, Turudishie Ngao yetu, Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume… Allahumma Ameen!

Jumamosi, 17 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 05 Septemba 2020 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu