Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Uchumi wa Pakistan Unadorora!

Uchumi wa Pakistan unadorora kutokana na biashara ya kimataifa kuegemezwa juu ya na dolari, deni lenye riba na uagizaji ghali wa mafuta na mashini kutoka nje ya nchi.

Uislamu unaasisi biashara zote kwa msingi wa dhahabu na fedha, na kukomesha utawala wa dolari.

Uislamu unaondoa riba (riba), hivyo kukomesha mtego wa madeni.

Uislamu unalazimisha kuwepo viwanda vizito vya ndani ili kuhakikisha majeshi huru na yenye nguvu.

Khilafah itaunganisha Ulimwengu wa Kiislamu wenye utajiri wa nishati kama dola moja, na kumaliza hitaji la kuagiza bidhaa ghali za mafuta kutoka nje.

#RejectDemocracyEstablishKhilafah

Jumatatu, 30 Shawwal 1443 H - 30 Mei 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu