Jumatatu, 10 Rabi' al-awwal 1445 | 2023/09/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Wako Wapi Maafisa wa Jeshi Watakaoviongoza Vikosi vya Jeshi la Khilafah Kuihami Heshima ya Mtume (saw)?!

Dola ya Kibaniani imeishambulia wazi wazi heshima ya Mtume ﷺ, huku ikiyasaidia makundi yake yenye silaha kuvunja misikiti na kuwachinja Waislamu. Ilhali, watawala waoga wa Pakistan wanaendelea kujizuia mbele ya mchinjaji wa Gujrat, Modi, huku wakidumisha njia ya mlango wa nyuma ya mazungumzo naye.

Enyi Maafisa wa jeshi wa Pakistan! Ni nani miongoni mwenu atakayeinuka kuvunja taya la Raja Dahir mwenye kiburi wa leo? Ni nani kati yenu atakayeongoza vikosi kuichukua tena Kashmir Iliyokaliwa kimabavu kutoka kwa mshiko wake wa kikatili? Ni nani miongoni mwenu atakayeitoa nafsi yake kwa ajili ya kuwa shahidi katika Jihad kwa ajili ya Ufunguzi wa Hind?

Toeni Nussrah yenu sasa kwa ajili ya kusimamisha tena Khilafah kwa Njia ya Utume. Ni Khilafah pekee ndiyo itakayotumia tishio la jeshi kulinda heshima ya Mtume (saw) na kuwalazimisha washirikina waabudu masanamu wa Kibaniani kujisalimisha mbele ya utawala wa Uislamu.

#KhilafahSilencesBlasphemy

Jumanne, 08 Dhul-Qa'adah 1443 H - 07 Juni 2022 M

Media

https://htmedia.zat.one/other/PK/2022/06/pk220606vid_India.mp4

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu