- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Lazima Tuyatake Majeshi yetu Yasimamishe tena Khilafah na Kuhamasika kwa ajili ya Gaza!
(Imetafsiriwa)
Enyi Waislamu wa Pakistan! Lazima tuyatake majeshi yetu yasimamishe tena Khilafah na kuhamasika kwa ajili ya Gaza. Lazima tumkumbushe kila afisa wa jeshi kwamba tunajua juu ya malipo makubwa yanayongojea shujaa ambaye atatoa nusra yake ya kimada kwa ajili ya kusimamisha tena utawala kwa Uislamu. Lazima tuwakumbushe Saad ibn Muadh (ra), ambaye alimpa Nusra yake Mtume ﷺ ili kupata utawala kwa Uislamu, mjini Al-Madinah al-Munawwarah. Lazima tuwakumbushe juu ya Janazah ya Sa'ad.
Mtume ﷺ alielezea wepesi wa mwili wa Sa’ad katika Janaza yake, akisema,
«ما يمنعه أن يخفَّ وقد هبط من الملائكة كذا وكذا لم يهبطوا قط قبل يومه قد حملوا معكم» “Hakuna kitu kilichofanya mwili wake kuwa mwepesi, ila ilikuwa ni idadi kadhaa na kadhaa ya malaika walioshuka na kumbeba pamoja nanyi. Malaika hao walikuwa hawajawahi kushuka mbeleni.” [Imesimuliwa katika Tabaqat, na Ibn Sa'Ad.]. Lazima tuwakumbushe bishara njema ambazo Mtume ﷺ alimpa mama anayeomboleza wa Saad,
«ليرقأ (لينقطع) دمعك، ويذهب حزنك، فإن ابنك أول من ضحك الله له واهتز له العرش» “Machozi yako yangepungua na huzuni yako ingepungua ikiwa ungejua kuwa mtoto wako ndiye mtu wa kwanza ambaye Mwenyezi Mungu alitabasamu na kiti chake cha enzi kilitingishika.” [Imesimuliwa katika At-Tabarani].
#خلافت_نیا_عالمی_آرڈر
#Khilafah_New_World_Order
Imetolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan
Jumapili, 21 Ramadhan 1445 H sawia na 31 Machi 2024 M
- Alama Ishara za Kampeni -
#إحياء_روح _بدر
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#ReviveBadrSpirit
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan