Ijumaa, 16 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan:

Ni juu ya majeshi ya Waislamu kusimamisha tena Khilafah, ambayo ni ngao ya Waislamu mjini Gaza na nje ya Gaza!

Ni juu ya majeshi ya Waislamu kusimamisha tena Khilafah, ambayo ni ngao ya Waislamu mjini Gaza nan je ya Gaza! Mtume wa Mwenyezi Mungu kipenzi chetu amesema,

إِنَّمَا الْإِمَامُ جُنَّةٌ يُقَاتَلُ مِنْ وَرَائِهِ وَيُتَّقَى بِهِ

“Hakika, Imam ni ngao. Waislamu hupigana nyuma yake na hujihami kwaye.” [Bukhari]. Ilikuwa ni Khilafah Rashida ya Umar al-Farooq (ra) iliyoifungua Palestina kwa Uislamu. Ilikuwa ni Khilafah ndiyo iliyomtuma Salahudin kuikomboa Palestina kutoka kwa uvamizi. Ilikuwa ni Khilafah ya Abdul-Hameed II ambayo ilikataa majaribio ya Wazayuni mnamo 18 Mei 1901 kununua ardhi nchini Palestina, huku akitangaza, “Siwezi kutoa hata shubiri moja ya ardhi ya Palestina, kwa kuwa sio mali yangu, bali ni ya mali ya Ummah wa Kiislamu.” Sasa, Ummah hauna ngao ya Khilafah. Badala yake, una watawala ambao ni ngao kwa maadui wa Waislamu, na panga dhidi ya Waislamu. Kwa hivyo je sio juu ya majeshi ya Waislamu, kutoa Nusrah yao (msaada wa kimada) kwa ajili ya kusimamisha tena Khilafah Rashida?

#خلافت_نیا_عالمی_آرڈر

#Khilafah_New_World_Order

Imetolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Jumapili, 21 Ramadhan 1445 H sawia na 31 Machi 2024 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu