Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Ripoti ya Habari 30/03/2023
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika muendelezo wa amali za hadhara zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan, kuhamasisha Umma wa Kiislamu na kunoa azma yake ya kusimamisha tena Dola ya Khilafah Rashida, kwa kuunda rai jumla yenye kufahamu hukmu za Uislamu na masuluhisho yake.