Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah 1444 H - 2023 M
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu, Khilafah, mnamo tarehe 28 Rajab 1342 Hijria.