Ijumaa, 14 Rajab 1442 | 2021/02/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah Syria: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Kalima ya Msikitini -

Risala za Rambirambi kwa Ummah wa Kiisilamu katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kutoweka kwa Khilafah!

Na Ndugu Abu Abdi

Jumapili, 02 Rajab 1442 H sawia na 14 Februari 2021 M

- Kalima ya Msikitini -

Miaka 100 ya Kuvunjwa kwa Khilafah!

Iliyotolewa na Al-Hajj Abdulraheem Al-Hassan

Katika Msikiti wa Sheikh Hilal / Mji wa Killi - Viungani mwa Idlib

Jumatatu, 03 Rajab 1442 H sawia na 15 Februari 2021 M

- Kalima ya Msikitini -

Miaka 100 ya Kuvunjwa kwa Khilafah!

Na Ndugu Inaad Jabar

Katika Msikiti wa Ali Bin Abi Talib / Mji wa Killi - Viungani mwa Idlib

Jumatatu, 03 Rajab 1442 H sawia na 15 Februari 2021 M

- Kalima ya Msikitini -

Rajab ni Kumbukumbu ya Maumivu ya Tukio Hatari na Uhalisia Mchungu!

Iliyotolewa na Sheikh Ahmad Hajj Muhammad

Katika Msikiti Mkuu wa Aqrabat - Viungani mwa Idlib

Jumatatu, 03 Rajab 1442 H sawia na 15 Februari 2021 M

- Kalima ya Msikitini -

Urudishieni Ummah Izza Yake kwa Kuisimamisha Khilafah!

Iliyotolewa na Ndugu Abu Kango

Katika Msikiti wa Kambi ya Majd / Tajma al-Jaulan - Viungani mwa Idlib

Jumatano, 05 Rajab 1442 H sawia na 17 Februari 2021 M

- Kalima ya Msikitini -

Kiza Kimetanda Juu ya Waislamu kwa Kukosekana Dola Yao!

Iliyotolewa na Ndugu Abu Malik

Katika Msikiti wa Kambi ya Majd / Tajma al-Jaulan - Viungani mwa Idlib

Alhamisi, 06 Rajab 1442 H sawia na 18 Februari 2021 M

- Visimamo na Maandamano katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah -

Mji wa Kah: Kisimamo na Maandamano kwa Anwani: "Ujasusi wa Uturuki Unakumbuka Kuvunjwa kwa Khilafah Kupitia Kuwakamata Wale Wanaofanya kazi ya Kuisimamisha Khilafah!"

Yaliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Syria katika mji wa Kaah - Viungani mwa Idlib

Jumatano, 05 Rajab 1442 H sawia na 17 Februari 2021 M

- Kalima ya Sheikh Ahmad Hajj Muhammad Wakati wa Kisimamo cha Mji wa Kaah -

Mji wa Sahara: Kisimamo katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah na Huku Ujasusi wa Kituruki katika Eneo la Azaz Ukiwakamata wafanyikazi wake!

Kilichoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Sahara - Viungani mwa Aleppo

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

- Kalima ya Ndugu Muhammad Swaleh katika Kisimamo cha Mji wa Sahara -

Mji wa Armanaz:  Maandamano ya Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah na Huku Ujasusi wa Uturuki katika Eneo la Azaz Unawakamata Wanaofanya kazi ya Kuisimamisha!"

Yaliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Syria katika mji wa Armanaz - Viungani mwa Idlib

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

Tel Karama: Kisimamo katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah na Huku Ujasusi wa Uturuki Ukiwakamata Wanaoifanyia kazi!"

Yaliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Syria katika mji wa Tel Karama - Viungani mwa Idlib

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

Mji wa Killi: Maandamamo katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah na Huku Ujasusi wa Uturuki Ukiwakamata Wanaoifanyia kazi katika Eneo la Azaz!"

Yaliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Syria katika mji wa Killi - Viungani mwa Idlib

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

Video (Minbar ya Ummah) Katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

 Minbar ya Ummah: Taarifa ya Wanawake wa Familia za Wale Waliokamatwa na Ujasusi wa Uturuki katika Mji wa Azaz!

Taarifa ya wanawake kutoka familia za wafungwa, Ahmed Sourani na Abdul Karim Qandusa, kupitia ujasusi wa Uturuki katika mji wa Azaz kutokana na kushiriki kwao katika kampeni ya kiulimwengu ya kumbukumbu ya miaka 100 ya kuvunjwa kwa Khilafah, "Isimamisheni, Enyi Waislamu."

Jumanne, 04 Rajab 1442 H sawia na 16 Februari 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة
ReturnTheKhilafah#
YenidenHilafet#
#خلافت_کو_قائم_کرو
TurudisheniKhilafah#

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Face wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu