Ijumaa, 25 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Maandamano katika Mji wa Kafra “Kimbunga cha Umma ni Majeshi yenye kupigana Jihad na sio Watawala Wanaolaani!”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa maandamano katika mji wa Kafra mnamo Ijumaa "Kimbunga cha Umma ni Majeshi yenye kupigana Jihad, na sio Watawala Wanaolaani!" wakati wa maandamano hayo, Ustadh Ali al-Bakri alitoa kalima ya kuwaunga mkono Waislamu kwenye Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), na kuwaomba nusra majeshi ya Waislamu, kuvunja vizuizi ambavyo watawala Ruwaibidha wamesababisha kwenye kambi zao ili kutaharaki mara moja kwa ajili ya Nusra kwa (Kimbunga cha Al-Aqsa) na ukombozi wa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutoka kwa makucha ya Mayahudi wanyakuzi.

Ijumaa, 05 Rabi' Al-Akhir 1445 H - 20 Oktoba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

//www.youtube.com/@user-gi6fn6dx8c/featured">Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Akaunti ya Whatsapp ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu