Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah ya Tunisia: Kisimamo cha Kitengo cha Wanawake mbele ya Bunge, "Imetosha Kuchochea dhidi ya Hukmu za Sharia kwa kutumikia Ajenda za Kigeni."

Kitengo cha wanawake cha Hizb ut-Tahrir katika Wilayah ya Tunisia kiliwaalika wanawake wa Tunisia kushiriki katika kisimamo mbele ya Bunge chini ya kauli mbiu "Imetosha uchochezi dhidi ya hukmu za Sharia kwa kutumikia ajenda za kigeni."

Na hicho kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, kilikuwa siku ya Jumamosi, Disemba 19, 2020, saa tano asubuhi.

Jumamosi, 04 Jumada I 1442 H sawia na 19 Disemba 2020 M

- Sehemu ya Kisimamo Hicho -

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 22 Disemba 2020 12:59

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu