Jumatano, 15 Rajab 1446 | 2025/01/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Matembezi ya Ukombozi… Kuwanusuru Watu wa Palestina na Msikiti ulio Mateka wa Al-Aqsa

Mbele ya ushujaa ulioonyeshwa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kushambulia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, uzingiraji wake na upigaji mabomu wake unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili halifu katika mwezi uliopita kwa Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake elfu 40 wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa ajili ya kuwanusuru watu wa Palestina na Msikiti ulio mateka wa Al-Aqsa, kuyataka majeshi ya Waislamu ya taharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauwaji.

Basi kuweni pamoja nasi na mushiriki katika ujira na Mwenyezi Mungu atatunusuru hata kama ni baada ya muda.

Ijumaa, 03 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 17 Novemba 2023 M

- Video ya Ualishi wa Matembezi -

"Enyi Majeshi ... Wakati Umewadia sasa wa Kutaharaki ili Kuikomboa Gaza na Kuling'oa Umbile la Kiyahudi"

- Alama Ishara za Amali hii -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu