Jumamosi, 25 Rajab 1446 | 2025/01/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Uingereza: Kongamano la Kila Mwaka "Kurudi kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kiislamu"


Janga la COVID-19 limefichua kasoro za urasilimali kwa watu wa asili zote, wasomi, wataalamu, washawishi na watu jumla. Mfumo batili wa kirasilimali unakabiliwa na migogoro mingi, ambayo yote hutokea kwa wakati mmoja katika nidhamu ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kadhalika. Na watu sasa wanaulizana kwa idadi inayoongezeka kuhusu uwezo wa urasilimali kuwasilisha masuluhisho yanayofaa kutekelezwa.

Hizb ut-Tahrir / Uingereza kupitia kongamano la kila mwaka chini ya kichwa:

"Kurudi kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kiislamu" inataka kuangazia juu ya kufeli huku, na itawasilisha badali ya Kiislamu, na itawabainishia Waislamu kuwa hali hii inawakilisha fursa nzuri sana ya kurudi kwa Uislamu wakati ambapo fikra na hadhara ya Kimagharibi zinachunguzwa vikali, na kisha kuwahamasisha Waislamu kuongeza juhudi zao za kurudia kusimamisha tena Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume. Ambapo kongamano hili litashughulikia mada kuu nne nazo ni:

1- Wanadamu Wanatafuta Badali kwa Hamu!

Itatolewa na Ustadh Jaleel Abdel Adil - Amerika

 2- Uchumi Mpya ambao Hauhudumii Asilimia Moja Pekee!

Itatolewa na Mchambuzi wa Kiuchumi Jamal Harwood - Uingereza

 3- Uislamu wa Kisiasa Ndio Badali!

Itatolewa na Ustadh Saad Jagranvi - Pakistan

 4- Kupatikana kwa Uongozi wa Uislamu katika Maisha na Jukumu Letu katika Hilo!

Itatolewa na Dkt. Muhammad Malkawi (Abu Talha) - Jordan

Jumamosi, 14 Rabi ul-Awwal 1442 H sawia na 31 Oktoba 2020 M

- Alama Ishara za Kongamano -

#TimeForIslam

fb

tw

instagram

#TimeForKhilafah

fb

tw

instagram

#HTBConference2020

fb

tw

instagram

#HTBritain

fb tw instagram

- Video Fupi za Kongamano -

- Video Fupi -

- Ualishi uliotolewa na mchambuzi wa kiuchumi Jamal Harwood kushiriki katika Kongamano hili -

- Ualishi wa Kushiriki katika Kongamano Kutoka kwa Ustadh Jaleel Abdel Adil -

- Ualishi Uliotolewa na Ustadh Saad Jagranvi wa Kushiriki katika Kongamano -

- Ualishi Uliotolewa na Dkt. Muhammad Malkawi (Abu Talha) wa Kushiriki katika Kongamano -

- Ualishi Uliotolewa na Dkt. AbdulWahid wa Kushiriki katika Kongamano -

- Kushiriki katika Kongamano hili na Kufuatilia Mapya Mengine -

Kujisajili na Kushiriki katika Kongamano Hili: 

Event
Kufuatilia Kupitia Facebook:
fb
Kufuatilia Kupitia Instagram: instagram

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Uingereza

 Uislamu Umejengwa Juu ya Fikra Angavu na Hatupaswi Kukubali Chochote Kutoka kwa Watawala Wetu Kinyume na Hivi

9 Rabii' al-Awwal 1442 H - 26 Oktoba 2020 M

 Usekula Umefeli Wakati Ambapo Uislamu Utafaulu

1 Rabii' al-Awwal 1442 H - 18 Oktoba 2020 M

 Urasilimali Unafeli kwa Kila Kipimo: Ni Wakati Sasa wa Uchumi Mpya

23 Safar 1442 H - 10 Oktoba 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 30 Oktoba 2020 11:19

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu