Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Kongamano la Khilafah la Kila Mwaka “Je, Kweli Unamfahamu Mtume Muhammad, Rehma na Amani ziwe Juu Yake?”

Hizb ut Tahrir Uingereza iliandaa kongamano la Khilafah la kila mwaka kwa kichwa:

Je, Kweli Unamfahamu Mtume Muhammad, Rehma na Amani ziwe Juu Yake?”

Jijini London (Jumamosi – 15 Julai 2023 M)

Jijini Birmingham (Jumapili – 16 Julai 2023 M)

Jumapili, 21 Dhul al-Hijjah 1444 H sawia 09 Julai 2023 M

Kwa maelezo zaidi Bonyeza Hapa

- Video Fupi ya Ualishi wa Kongamano la Kila Mwaka -

Hizb ut Tahrir/Uingereza iliandaa makongamano mawili ya Khilafah jijini London na Birmingham, mnamo siku ya Jumamosi, 07/15/2023 na Jumapili, 7/16/2023 yenye kichwa: "Muhammad (saw) Rehma, Ujumbe, Misheni "; ambayo yalikuwa na wahudhuriaji 1300. Kundi la wazungumzaji kutoka Hizb ut Tahrir walitoa hotuba mashuhuri katika makongamano yote mawili.

Hotuba za wazungumzaji katika makongamano hayo mawili zililenga mambo yafuatayo:

Ufafanuzi wa maisha ya Mtume Muhammad (saw) na ulinganizi alioubeba (saw) na jukumu letu katika kubeba ulinganizi huo huo kwa fahari badala ya hofu.

Taarifa ya kuwafahamisha vijana wa Kiislamu ni nini misheni yao na kuregesha izza wa Uislamu tena.

Ufisadi wa mfumo wa leo unaotawaliwa na Ubepari ambamo unawanyonya watu wake.

Kuonyesha umuhimu wa kazi ya Waislamu hivi leo kuachana na mifumo mibovu na iliyotungwa na wanadamu, na kusimamisha mfumo wa Uislamu kwa kufuata njia ya Mtume (saw), ambapo alisimamisha dola ya kwanza ya Kiislamu mjini Madina.

Umuhimu wa kufanya kazi na Hizb ut Tahrir, ambayo inafanya kazi bila kuchoka kusimamisha Dola ya Kiislamu kwa njia ya Utume.

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir/ Uingereza

- Kongamano la London -

- Kongamano la Birmingham -

- Alama Ishara za Kongamano -

#HTBConference2023 

#Prophetmuhammad

#HizbBritain

Kwa maelezo zaidi, tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
Facebook: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
Twitter: Hizb ut Tahrir/ Uingereza
YouTube: Hizb ut Tahrir/ Uingereza

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu