Jumatano, 23 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Uturuki: Kongamano la Al-Qudsi la Kiulimwengu 1442 H – 2021 M

Chini ya hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na umbile la Kiyahudi kwenye Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuzingirwa kwake na mabomu ambayo yameendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki inaandaa kongamano la mtandaoni kwa anwani:

"Kongamano la Al-Qudsi la Kiulimwengu"

Kikundi cha wasomi na waandishi wa habari kutoka Uturuki watahadhiri ndani yake, kama ambavyo pia watashiriki washiriki kutoka nje Mwadhama Sheikh Essam Amira (Abu Abdullah) kutoka Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na Ustadh Mkubwa Ahmed Al-Qasas kutoka Ardhi iliyobarikiwa (Lebanon).

Basi kuweni pamoja nasi...

Jumatano, 07 Shawwal 1442 H sawia na 19 Mei 2021 M

Wakati na Mahali -

Tarehe: 19 Mei 2021 M

Wakati: 20:30 (Kwa saa za eneo la Uturuki)

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

- Ili Kutazama Matangazo ya Moja kwa Moja -

 

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 13 Juni 2021 07:02

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu