Jumapili, 22 Muharram 1446 | 2024/07/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ripoti ya Kadhia ya Hamza si ya Kuaminika, na Inadhihirisha Uwongo katika Kesi za Ugaidi Tanzania

Mnamo tarehe 2 Septemba, 2021 Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Tanzania Bw. Camilius Wambura alitoa ripoti yake kuwa Hamza Mohamed (30) mfanyabiashara na mwanachama wa chama tawala (CCM) aliyeuawa na polisi siku ya tarehe 25 Agosti 2021 baada ya kuwaua askari watatu na mlinzi mmoja jijini Dar es Salaam kwamba alikuwa gaidi wa kujitoa muhanga.

Soma zaidi...

Imran Khan Anajaribu Kuficha Utumwa Wake wa Kisiasa na Kifikra kwa Magharibi kupitia Kuwathamini Waislamu wa Afghanistan

Waziri Mkuu Imran Khan mnamo Jumatatu, 16 Agosti 2021, alizindua Mtaala Mmoja wa Kitaifa katika sherehe jijini Islamabad. Alizungumza kuhusu jinsi ulazimishaji wa thaqafa ni sawa na 'utumwa wa akili," akisema kwamba Waafghan walikuwa "wamevunja pingu za utumwa."

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu