Alhamisi, 03 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wanawake na Wasichana wa Gaza Wameachwa Kutelekezwa katika Udhalilifu na Hofu

Mateso ya dada zetu Waislamu hayavumiliki kwa viwango vyovyote vya kibinadamu. Ni lazima tutambue heshima kubwa na nafasi ya juu ya Mwanawake Muislamu katika Uislamu. Maisha yake, mali na utu wake vyote vinalindwa chini ya hukmu za Sharia na ukiukaji wake ni miongoni mwa haramu kubwa, kama alivyofafanulia Mwenyezi Mungu (swt).

Soma zaidi...

Huku Ramadhan Ikikaribia Gaza Inaendelea Kufa Njaa

Kulingana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, wakaazi wote wa Gaza milioni 2.3 kwa sasa wameainishwa kama wanakabiliwa na mgogoro, dharura, au viwango vya janga vya uhaba wa chakula. Picha zimesambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha watu, haswa kaskazini mwa Gaza, wakila nyasi, magugu na malisho ya wanyama.

Soma zaidi...

Uamuzi wa Mahakama ya Shirikisho kuhusu Utekelezaji Sharia wa Kelantan - Umetumia Sharia ipi?

Mnamo Agosti 2023, mawakili wawili, Nik Elin Zurina na Tengku Yasmin, waliwasilisha ombi kwa lengo la kubatilisha vifungu18 ndani ya Sharia ya Jinai ya Kelantan. vifungu hivyo, vilivyoainishwa chini ya Sharia ya Kiislamu, viko chini ya mamlaka ya Bunge la Jimbo la Kelantan (DUN).

Soma zaidi...

Wanajificha Chini ya Jiwe Gani na Katika Sayari Gani Wanajeshi na Majenerali wa Majeshi ya Waislamu Wakati Hata Askari wa Jeshi la Adui Yetu Hawawezi Kukaa Kimya?!

 Katika kupinga mauaji ya halaiki yanayoendelea kufanywa juu ya watu wa Gaza, mwanajeshi wa Marekani anayeitwa Aaron Bushnell alijitolea maisha yake mbele ya ubalozi wa ‘Israel’ kwa kujichoma moto. Alisema alipokuwa akielekea kifo chake kwamba hawezi kushiriki tena katika mauaji ya watu wasio na hatia huko Gaza, na maneno yake ya mwisho yalikuwa ‘Iacheni Huru Palestina’.

Soma zaidi...

Mabinti wa Ummah Wanauawa mbele ya Macho Huku Ulimwengu Unasikiliza

Wakati makumi ya maelfu ya raia wa Gaza wakikimbilia kusini, kutafuta usalama kwenye mpaka wa Rafah na Misri, hadithi moja ya jaribio la kutoroka inadhihirika: ile ya Hind Rajab mwenye umri wa miaka 6. Alikuwa njiani na wanafamilia wengine kukutana na mama yake wakati gari la Kia walilokuwa wakisafiria liliposhambuliwa na Majeshi ya umbile la Kiyahudi, na familia zote zilizokuwa kwenye gari hilo ziliuawa.

Soma zaidi...

Uchaguzi wa Urais 2024 na Dosari za Demokrasia nchini Indonesia: Ni wakati wa Kuregea kwenye Uislamu

Uchaguzi wa urais nchini Indonesia ulifanyika mnamo Februari 14, 2024, na kufikia sasa, kuhesabu kura rasmi kunaendelea na Tume ya Uchaguzi Mkuu. Kulingana na hesabu ya haraka ya matokeo, kuna uwezekano mkubwa kwamba wawili Prabowo Subianto na mwanawe Rais, Gibran, wataibuka washindi.

Soma zaidi...

Suluhisho Pekee na Thabiti kwa Kadhia ya Palestina ni Kusimamishwa kwa Dola ya Khilafah katika Ardhi Nzima ya Palestina!

Wakati wa ziara yake nchini Malta, Waziri wa Mambo ya Nje Hakan Fidan alisema katika tangazo la pamoja kwa vyombo vya habari na Waziri wa Mambo ya Nje, Masuala ya Ulaya na Biashara wa Malta Ian Borg kwamba suluhisho bora kwa Palestina ni suluhisho la dola mbili ndani ya mipaka ya 1967.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu