Jumamosi, 12 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah ya Syria: Kampeni "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa; NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Hakika Wamagharibi makafiri chini ya uongozi wa Amerika wamedumu katika kupanga dhidi ya "mapinduzi" ya Ash-Sham na watu wake kwa muda wa miaka tisa iliyopita, na wametumia katika hilo mbinu na mitindo katika kuwaumiza watu wa Ash-Sham na kuwapeleka katika kichinjio kile kinacho itwa "Suluhisho la Kisiasa"; suluhisho hili linamakinisha ukoloni wa Wamagharibi makafiri kwa ardhi ya Ash-Sham kwa viwango vyake vyote; miongoni wake, kisiasa, kiuchumi na hata kithaqafa, katika upande wa kumbadilisha kibaraka mmoja kwa kibaraka mwengine katika hali iliyo bora zaidi, ikiwemo kuziangusha harakati zao na kuzalisha tena upya nidhamu ya kisekula inayo tenganisha Uislamu na maisha; na kujaalia kujitolea kote kwa watu wa Ash-Sham katika maisha haya kuwe kumepotea bure; bila ya kupatikana lile ambalo watu wa Ash-Sham walikuwa wanaliendea nalo ni kuiangusha serikali ya kihalifu kwa nguzo na alama zake zote na kusimamisha utawala wa Uislamu mahali pake.

Wamagharibi wanajua vyema kwamba nguvu ya Waislamu inaweza kuzalisha nidhamu mpya ya kisiasa ambayo Aqeedah ya Kiislamu ndio itakayokuwa msingi wake, na wanajua kwamba kusimama kwa Khilafah Rashidah kwa Njia ya Utume ambayo Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) alibashiria kurudi kwake itakuwa ni hatari kubwa kwao; bali itaondoa ushawishi wao sio tu katika ardhi ya Ash-Sham pekee; bali katika nchi zote za Waislamu, na itawafuata kati ardhi yao huku ikibeba Uislamu kama Uongofu na Nuru kwa wanadamu wote.

Na vipi Wamagharibi makafiri na zana zao wasiyapige vita "mapinduzi" ya Ash-Sham;  na ilhali wao ndio waliofanya kazi kwa bidii na kwa miongo kadhaa katika kuiangamiza Dola ya Khilafah ambayo iliwaunganisha Waislamu wote; na ilikuwa ndio ngome yenye kuukinga Uislamu na Waislamu, basi kwa hilo walikuwa waangalifu mno katika makongamano yao mingi yanayo husiana na Ash-Sham juu ya kuwepo dola ya kisekula na ya kizalendo ili kudhamini utenganishaji wa Uislamu na maisha na jamii; na kuzihifadhi serikali vibaraka na za kihalifu.

Na hakika walianzisha tume ya kuunda katiba ya kisekula na wakachagua wanachama wake; ili kudhamini utungaji katiba iliyo fafanuliwa vipimo vyake; inayo hifadhi maslahi yao na yenye kuhakikisha malengo yao na kumakinisha utiifu kwao, ni hili pekee ndilo linalo waridhisha, na kumkasirisha Mola wa Walimwengu na hakuna uhalifu wala uovu mkubwa zaidi ya huu. Mwenyezi Mungu (swt) asema:

(وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ  قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ  وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ  مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ).

"Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu." [al-Baqara: 120]

Na kwa hayo yote; hakika sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria; tunatangaza kuanza kwa kampeni kwa anwani:

"HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa; NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Tutajaribu katika kampeni hii kuonyesha uhalifu huu na athari zinazotokana nao na kuwatahadharisha watu wetu na ndugu zetu kutokana na kukubali suluhisho hili na kutumbukia ndani yake.  

Na tunawaomba wote wenye ikhlasi miongoni mwa ndugu zetu na watu wetu, ili kujitolea kwa watu wa Ash-Sham kusipotee bure kwenye barabara za njama za kimataifa, kufanya kazi kwa bidii ili kuzuia kutokea kwa uhalifu huu wa kuchukiza; ambao utawarudisha upya watu wa Ash-Sham katika minyororo ya utumwa, maonevu, dhulma na ukandamizaji, na ikiwa Wamagharibi makafiri chini ya kiongozi wao Amerika wanabeba bendera ya vita dhidi ya Uislamu na Waislamu vipi basi yatakuwa matokeo ya masuluhisho yao wanayodai?!!!

Mwenyezi Mungu (swt) asema:

(مَا يَوَدُّ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ وَلَا الْمُشْرِكِينَ أَنْ يُنَزَّلَ عَلَيْكُمْ مِنْ خَيْرٍ مِنْ رَبِّكُمْ  وَاللَّهُ يَخْتَصُّ بِرَحْمَتِهِ مَنْ يَشَاءُ  وَاللَّهُ ذُو الْفَضْلِ الْعَظِيمِ).

"Walio kufuru miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina hawapendi mteremshiwe kheri yoyote kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na Mwenyezi Mungu humkusudia kumpa rehema yake ampendaye. Na Mwenyezi Mungu ni mwenye fadhila kubwa" [al-Baqara: 105]

Alhamisi, 23 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 13 Agosti 2020 M

DVD za Kampeni ya Wilayah ya Syria: “HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!”

Syrian23

Kalima ya Ustadh Ahmad Abdul Wahhab

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria

Kwa mnasaba wa uzinduzi wa Kampeni "Hapana kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa; Ndio Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Ili kusoma maandishi Bonyeza Hapa

Kalima kwa Anwani "Kwa Wale Wanaotafuta Kuiangusha Serikali"

Na Ustadh Munir Nassir

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Syria

Kalima kwa Anwani "Hatima ya Mapinduzi ya Ash-Sham Iko katika Kutekeleza Vifungu vya Kongamano wa Geneva!"

Ya Ustadh: Abdou al-Dali

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumatano, 20 Safar Al-Khair 1442 H sawia na 07 Oktoba 2020 M

Kalima kwa Anwani "Silaha Yenu ni Heshima Yenu Basi Kamwe Msiisalimishe na Mapinduzi Yanaendelea, Hivyo Ikamateni Mikono ya Mwenye Kuyachoma Kisu!"

Ya Ustadh Nasser Sheikh Abdelhai

Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumatatu, 25 Safar Al-Khair 1442 H sawia na 12 Oktoba 2020 M

Kalima kwa Anwani "Vurugu za Ndege za Muungano wa Kimsalaba wa Kimataifa Juu ya Ardhi ya Ash-Sham Zaruka Kutoka Incirlik!"

Ya Ustadh Nasser Sheikh AbdelHai

Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Jumamosi, 08 Rabi' ul-Awwal 1442 H sawia na 25 Oktoba 2020 M

Kalima kwa Anwani "Sisi ni Mwiba Sio Jicho Ambalo Linauogopa"

Ya Ustadh Nasser Sheikh Abdul Hai

Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Kalima kwa Anwani "Adui Yetu ni Wasaliti wa Vikundi na Watawala Vibaraka Juu ya Shingo Zetu

Na Ustadh Ahmad Hajj Muhammad

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Taarifa ya Waandishi wa Habari na Ustadh Ahmad Abdul Wahhab

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria

Kuhusu Kundi la Hay'at Tahrir Ash-Sham Kuwakamata Mashababu Watano wa Hizb ut Tahrir kwa Kukataa kwao Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika!

Ijumaa, 02 Muharram al-Haram 1442 H sawia na 21 Agosti 2020 M

- Video Fupi ya Kampeni -

-  Alama Ishara za Kampeni -

#لا_لجريمة_الحل_السياسي

#نعم_لإسقاط_النظام_وإقامة_الخلافة

- Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika... Suluhisho Hatari Lenye Kueneza Sumu Yake -

- Usanii wa Uchaguzi wa Kidemokrasia na Hila za Mabadiliko -

- Uhakika wa Katiba Zilizotungwa na Wanadamu! -

- Kuangushwa kwa Serikali Kwamaanisha Nini?! -

- Wanaozidhibiti Ardhi Zilizokombolewa Wanakwenda kwa Mwendo Ule Ule wa Madhalimu!

- Vipi Serikali Itaanguka?! -

- Kuondoa silaha ni Miongoni mwa Hatua za Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika! -

Imeandaliwa na Kuwasilishwa na: Ndugu Swaleh Na'asan

Jumamosi, 30 Safar 1442 H sawia na 17 Oktoba 2020 M

- Mazoezi ya Pamoja ya Jeshi la Uturuki na Urusi Mjini Idlib; Sababu Zake na Ni Lipi Lengo Lake...?! -

Suluhisho la Kisiasa ni Mkia wa Nge!

Imetayarisha na Kuwasilishwa na: Ndugu Ibrahim Hajj Ali (Abu Dujanah) Mji wa Ariha  Viungani mwa Idlib

Jumanne, 28 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 18 Agosti 2020 M

Je, Suluhisho la Kisiasa ni Jabali Litakalotuokoa na Maji?!

Imetayarishwa na Kuwasilishwa na: Ndugu Adil Abu Muhammad

Jumapili, 04 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 23 Agosti 2020 M

Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika ni Mtego wa Buibui

Imetayarishwa na Kuwasilishwa na: Ndugu Mhandisi Ridhwan Al-Khouli (Abu Usama)

Jumamosi, 04 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 23 Agosti 2020 M

- Je, Mtakaa Kimya Enyi Wanaume wa Uislamu katika Maeneo Yaliyokombolewa?! -

Imeandaliwa na Kuwasilishwa na: Ndugu Khalid Abu Satif

Jumamosi, 10 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 29 Agosti 2020 M

- Je, Kashfa Ndiyo Iliyowanyamazisheni?!.. Changamoto kwa Amerika na wale Wanaohusishwa Nayo?! -

Imeandaliwa na Kuwasilishwa na: Ndugu Ahmad Hajj Muhammad

Jumapili, 11 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 30 Agosti 2020 M

- ولا تركنوا إلى الذين ظلموا! -

"Wala msiwategemee wanao dhulumu" [Hud: 113]

Imeandaliwa na Kuwasilishwa na: Ndugu Mihyar Aloush

Jumamosi, 17 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 05 Septemba 2020 M

- Je, Kurudi kwa Waliohamishwa ni Ukweli Halisi au Uongo wa Makusudi?! –

Imeandaliwa na Kuwasilishwa na: Ndugu Ahmad Abdul Jawad

Jumatatu, 12 Muharram 1442 H sawia na 31 Agosti 2020 M

Kundi la Hay'at Tahrir Ash-Sham Linayapeleka Wapi Maeneo Yaliyo Kombolewa?!

Imetolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria

Jumatatu, 27 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 17 Agosti 2020 M

Kalima ya Msikitini kwa Anwani "Hata Mitume walipo kata tamaa"

 (Surah Yusuf: 110)

Iliyotolewa na Ndugu Muhammad Al-Hamasi (Abu Dharr)

Katika Moja ya Misikiti ya Kafr Takharim Viungani mwa Idlib

Kalima ya Msikitini kwa Anwani "Je! Hawaizingatii hii Qur'ani" (Surah Muhammad: Aya 24)

Iliyotolewa na Ndugu Abdulbasit Abu Al-Faruq

Katika Moja ya Misikiti Katika Mji wa Ma'arrat Misrin Viungani mwa Idlib

- Kalima ya Msikitini -

"Hatari ya Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika Juu ya Mapinduzi ya Ash-Sham!

Imetolewa na Ndugu Mahmoud Abu Astif katika Moja ya Misikiti ya Viungani mwa Aleppo Kaskazini

Jumamosi, 04 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 23 Agosti 2020 M

- Kalima ya Msikitini -

"Suluhisho la Kisiasa Ndio Kichwa cha Njama Zote!"

Imetolewa na Ndugu Abdul Basit Abu Al-Farouq katika Mojawapo ya Misikiti ya Mji wa Taftanaz Viungani mwa Idlib

Alhamisi, 08 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 27 Agosti 2020 M

- Kalima ya Msikitini -

"Suluhisho la Kisiasa Ndio Kichwa cha Njama Zote!"

Imetolewa na Ndugu Ahmad Al-Qasar katika Moja ya Misikiti ya Mji wa Atarib Viungani mwa Aleppo

Alhamisi, 15 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 03 Septemba 2020 M

Kisimamo kwa Anwani "Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika ni Kumbadilisha Kibaraka Mmoja kwa Kibaraka Mwengine!"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Kijiji cha Sahara Viungani mwa Aleppo.

Ijumaa, Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 14 Agosti 2020 M

Kisimamo kwa Anwani "Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika ni Uhalifu kwa Haki ya Mapinduzi!"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mji wa Idlib.

Jumatatu, 27 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 17 Agosti 2020 M

Msururu wa Visimamo na Maandamano Makubwa Yaliyoandaliwa na

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Mnamo Siku ya Ijumaa, 16 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 04 Septemba 2020 M

Kukataa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika na Kusisitiza Wajibu wa  Kuiangusha Serikali kwa Nguzo Zake na Kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida

 

Maandamano ya Kijiji cha Sahara Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "Maeneo Yaliyokombolewa ya Atma Yaliangusha Barakoa ya Vyura vya Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika!"

- Kalima ya Ndugu Muhammad Swaleh katika Maandamano ya Kijiji cha Sahara -

Kisimamo cha Mji wa Atarib Viungani mwa Aleppo

Kwa Anwani "Kukataa Kwetu Suluhisho la Kisiasa Yamaanisha Kukataa Kwetu Kurudi Chini ya Serikali Hii!"

Kisimamo cha Mji wa Killi Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Kisimamo cha Kambi za Tel Karama Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Msururu wa Visimamo na Maandamano Makubwa Yaliyoandaliwa na

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Siku ya Ijumaa, 09 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 28 Agosti 2020 M

Kukataa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika na Kusisitiza Uwajibu wa Kuangushwa kwa Serikali kwa Nguzo Zake Zote na Kusimamishwa kwa Dola ya Khilafah Rashida

 

Maandamano ya Kambi za Ghab Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kalima ya Ndugu Ahmad Muaz katika Maandamano ya Kambi za Ghab

Kisimamo Chenye Kujumuisha Kambi za Atma Magharibi Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kisimamo cha Mji wa Tel Karama Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kisimamo cha Mji wa Kulli Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kisimamo kwa Anwani "Katiba Yetu ni Qur'an

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Kijiji cha Deir Hassan Viungani mwa Idlib

Jumatatu, 28 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 18 Agosti 2020 M

- Kalima ya Ndugu Abu Riyadh Wakati wa Kisimamo Hicho -

Msururu wa Visimamo na Maandamano Makubwa Yaliyo Andaliwa na

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria

Siku ya Ijumaa, 02 Muharram al-Haram 1442 H sawia na 21 Agosti 2020 M

Kukataa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika na Kusisitiza Kuangushwa kwa Serikali kwa Nguzo Zake Zote na Kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida

 

Kalima ya Ustadh Ahmad Abdul Wahhab

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria

Kuhusu Maandamano Yaliyo Andaliwa na Hizb ut Tahrir katika Kijiji cha Deir Hassan Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Maandamano ya Kijiji cha Deir Hassan Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Maandamano ya Mji wa Sahara Viungani mwa Aleppo

Kwa Anwani "Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika Linairidhisha Magharibi, Khilafah ya Kiislamu Inamridhisha Mola!"

Kalima ya Ustadh Amir As-Salim katika Maandamano ya Mji wa Sahara

Kisimamo cha Mji wa Tel Al-Karama Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kisimamo cha Mji wa Al-Atarib Viungani mwa Aleppo

Kwa Anwani "Amerika na Suluhisho Lake la Kisiasa Chini ya Miguu ya Watu wa Ash-Sham"

Kisimamo cha Mji wa Kili Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kisimamo katika Makutano ya Kambi za Al-Karameh Mjini Atma, Viungani mwa Idlib

Kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kisimamo katika Kijiji cha Ein Shib Viungani mwa Idlib

Kwa Ajili ya Kukataa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika na Kulitaka Kundi la Hay'at Tahrir Ash-Sham Kuwaachilia Huru Mara Moja Mashababu wa Hizb ut Tahrir Waliowakamata

Kisimamo kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa; NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Kilicho Andaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mji wa Dana Viungani vya Idlib.

Jumamosi, 25 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 15 Agosti 2020 M

Kisimamo cha Kukataa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa na Kulingania Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah Rashida

Kimeandalia na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Viungani mwa Idlib Kaskazini

Jumapili, 04 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 23 Agosti 2020 M

Maandamano kwa Anwani "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa NDIO Kuangushwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Yameandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilaya Syria katika Mji wa Ariha Viungani mwa Idlib

Jumatatu, 05 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 24 Agosti 2020 M

Kalima ya Ndugu Samir Eid katika Maandamano Hayo

Kalima ya Mari Al-Hassan katika Maandamano Hayo

Kisismamo kwa Anwani "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa… NDIO Kuangushwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Kambi za Deir Hassan Viungani mwa Idlib

Jumanne, 06 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 25 Agosti 2020 M

Kisimamo kwa Anwani "Ni kwa Faida ya Nani wale Waliokamatwa kwa Kukataa Suluhisho la Kiamerika?!"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mji wa Atma Viungani mwa Idlib

Jumanne, 07 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 26 Agosti 2020 M

Kisimamo cha Watu wa Taftanaz Kukataa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa!

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mji wa Taftanaz Viungani mwa Idlib

Alhamisi, 08 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 27 Agosti 2020 M

Kisimamo "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mji wa Armanaz Viungani mwa Idlib

Jumanne, 13 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 01 Septemba 2020 M

Kisimamo "Amerika Ndiyo Sababu ya Misiba Yetu Vipi Tutakubali Suluhisho Lake la Kisiasa!"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mji wa Babika Viungani mwa Aleppo

Jumatano, 14 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 02 Septemba 2020 M

Kisimamo "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Kwenye Makutano ya Uqrabat, Kambi ya Sham al-Izza Viungani mwa Idlib

Jumatano, 21 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 09 Septemba 2020 M

Kisimamo "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mji wa Atma Viungani mwa Idlib

Jumanne, 20 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 08 Septemba 2020 M

Kisimamo "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mkusanyiko wa Kambi za Atma Magharibi Viungani mwa Idlib

Alhamisi, 22 Muharram Al-Haram 1442 H sawia na 10 Septemba 2020 M

(Video ya Kwanza ya Kisimamo)

(Video ya Pili ya Kisimamo)

Kisimamo "HAPANA kwa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Huko Suran Viungani mwa Aleppo Kaskazini

Ijumaa, 01 Safar 1442 H sawia na 18 Septemba 2020 M

Kisimamo cha Kupinga Suluhisho la Kisiasa na Nusra kwa Wanawake wa Arab Saeed

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Kijiji cha Sahara Viungani mwa Aleppo

Jumamosi, 02 Safar 1442 H sawia na 19 Septemba 2020 M

Kisimamo kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Mkusanyiko wa Kambi za Atma Magharibi katika Kambi ya Atshan Viungani mwa Idlib

Ijumaa, 15 Safar 1442 H sawia na 02 Oktoba 2020 M

Kisimamo kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika… NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Kimeandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika Kambi za Karamah Viungani mwa Idlib

Ijumaa, 22 Safar Al-Khair 1442 H sawia na 09 Oktoba 2020 M

Kalima ya Ndugu Khalid Abu Satif wakati wa Maandamano

Kwa Anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa… NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"

Yaliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Jumatatu, 09 Rabi' ul-Awwal 1442 H sawia na 26 Oktoba 2020 M

 

Mkusanyiko wa Picha

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 24 Novemba 2020 13:41

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu