Jumatano, 02 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina Amali kutoka Kitengo cha Wanawake Zikikumbuka Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah

Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Ardhi Tukufu ya Palestina kilifanya amali anuwai, za ana kwa ana na mtandaoni, kukumbuka kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah zenye kichwa, "Ni Wakati sasa wa Kudhihiri Dini yetu na Kunyanyuliwa Bendera ya Mtume wetu".

Soma zaidi...

Wilayah Syria: Maandamano ya Wanawake ya Atma "Wanawake wa Kaskazini Wawaitikia Wanawake wa Daraa; ni Nani Basi kwa Ajili ya Wanawake Hawa Wote Atakayeijibu Fazaa"

Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria kiliandaa maandamano katika mji wa Atma viungani mwa Idlib kwa anwani "Wanawake wa Kaskazini Wawaitikia Wanawake wa Daraa; ni Nani Basi kwa Ajili ya Wanawake Hawa Wote Atakayeijibu Fazaa!"

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu