Kitengo cha Wanawake: Kampeni ya Ramadhan: "Kutafuta Mafanikio Usoni Mwa Matatizo"
- Imepeperushwa katika Kampeni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kitengo cha Wanawake Kampeni ya Ramadhan Kutafuta Mafanikio Usoni Mwa Matatizo
Kitengo cha Wanawake Kampeni ya Ramadhan Kutafuta Mafanikio Usoni Mwa Matatizo
Tangazo la Beijing na Uingizaji wa Siasa Katika Masuala ya Wanawake
Kauli mbiu ya mwaka 2020 ilikuwa ‘Usawa kwa Kila Mmoja’ ambayo ililingania kwa utendaji wa pamoja ili kufikia usawa wa kijinsia ndani ya serikali, sehemu za kazi, michezo na kuangaziwa na vyombo vya habari pamoja na sekta nyingine ndani ya dola.
Mwaka 2020 unaadhimisha miaka 25 ya Azimio la Beijing na Mpango wa Utendaji (BPfA), ni waraka mpana ambao ulikuwa ni matokeo ya Kongamano la Kiulimwengu la nne la UN kuhusiana na Wanawake lililofanyika mnamo Septemba 1995, huko Beijing, Uchina.

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa kampeni nzito kupitia mitandao ya kijamii kwa kichwa, “#KhilafahHuwakingaWanawake.”
Miaka tisini na tisa ... Huu hapa mwaka mwingine umepita katika maisha yetu, na kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah imerudi kutuzuru tena,
Zaidi ya raia 20 waliuawa Jumanne iliyopita katika mashambulizi yaliyotekelezwa na vikosi vya kijeshi vya Syria kwa kuwalenga raia ikijumuisha shule. Shirika la Ufuatilizi wa Haki za Kibinadamu liliripoti kwamba takribani watoto tisa na walimu watatu waliuawa katika kuzidi kwa mashambulizi katika mkoa wa Idlib kaskazinimagharibi mwa nchi.
Ukombozi wa Konstantinopli ulikuwa tukio muhimu katika historia ya Uislamu ambao umekamilisha bishara ya Hadithi ya Mtume (saw).
Kundi la mashirika linadhamiria kufanya mandamano saa sita mchana, Alhamisi 02/01/2020, kudai kutiwa saini kwa Makubaliano ya Kuondoa Aina zote za Ubaguzi dhidi ya Wanawake (CEDAW),