Jumapili, 22 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 (بَلْ أَحْيَاءٌ عِنْدَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ)

“Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi.” [Surah Aali Imran 3:169]
(Imetafsiriwa)

Habari:

Sheikh Dkt. Ayman al-Zawahiri ameuwawa na shambulizi la Amerika. (Agosti 2, 2022)

Maoni:

Namuomba Mwenyezi Mungu (swt) kwamba al-Zawahiri awe miongoni mwa wale ambao Mwenyezi Mungu (swt) anawahuisha pamoja Naye, akiwaruzuku wote, na kwamba Mwenyezi Mungu (swt) amjaalie daraja za juu kabisa za Pepo na starehe, kama ambavyo Yeye (swt) amruzuku shufaa kwa familia yake.

Naapa kwa Mwenyezi Mungu (swt), namuomba Mwenyezi Mungu (swt) kwamba al-Zawahiri awe miongoni mwa wale ambao Mwenyezi Mungu (swt) asema:

(وَلاَ تَحْسَبَنَّ الَّذِينَ قُتِلُواْ فِي سَبِيلِ اللّهِ أَمْوَاتاً بَلْ أَحْيَاء عِندَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ * فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللّهُ مِن فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُواْ بِهِم مِّنْ خَلْفِهِمْ أَلاَّ خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلاَ هُمْ يَحْزَنُونَ * يَسْتَبْشِرُونَ بِنِعْمَةٍ مِّنَ اللّهِ وَفَضْلٍ وَأَنَّ اللّهَ لاَ يُضِيعُ أَجْرَ الْمُؤْمِنِينَ)

“Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi. (169). Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika. (170). Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini. (171)[Surah Aali-Imran 3:169-171].

Naapa kwa Mwenyezi Mungu (swt), namuomba Mwenyezi Mungu (swt) kwamba roho ya al-Zawahiri iwe miongoni mwa zile ambazo Mwenyezi Mungu (swt) amesema:

«أَرْوَاحُهُمْ فِي جَوْفِ طَيْرٍ خُضْرٍ، لَهَا قَنَادِيلُ مُعَلَّقَةٌ بِالْعَرْشِ، تَسْرَحُ مِنَ الْجَنَّةِ حَيْثُ شَاءَتْ، ثُمَّ تَأْوِي إِلَى تِلْكَ الْقَنَادِيلِ، فَاطَّلَعَ إِلَيْهِمْ رَبُّهُمْ اطِّلَاعَةً، فَقَالَ: هَلْ تَشْتَهُونَ شَيْئاً؟ قَالُوا: أَيَّ شَيْءٍ نَشْتَهِي وَنَحْنُ نَسْرَحُ مِنْ الْجَنَّةِ حَيْثُ شِئْنَا؟ فَفَعَلَ ذَلِكَ بِهِمْ ثَلَاثَ مَرَّاتٍ. فَلَمَّا رَأَوْا أَنَّهُمْ لَنْ يُتْرَكُوا مِنْ أَنْ يُسْأَلُوا قَالُوا: يَا رَبِّ، نُرِيدُ أَنْ تَرُدَّ أَرْوَاحَنَا فِي أَجْسَادِنَا حَتَّى نُقْتَلَ فِي سَبِيلِكَ مَرَّةً أُخْرَى. فَلَمَّا رَأَى أَنْ لَيْسَ لَهُمْ حَاجَةٌ تُرِكُوا»

Roho zao zimo ndani ya miili ya ndege wa kijani, walio na viota mithili ya kandili zining’iniazo kwenye Kiti cha Enzi (‘Arsh). Wanatoka Peponi wanapotaka, kisha wanabarizi ndani ya viota hivyo. Mola wao atawatazama kwa uelewa kamili huku akiwaambia: “Je, munatamani chochote chengine?” watasema, “Ni kipi chengine tutakachotamani na ilhali tunastarehe Peponi namna tunavyotaka?” Mola wao atawauliza hilo mara tatu. Na pindi watakapoona hawaachwi kuulizwa hilo tena na tena, watasema: “Ewe Mola wetu, tungependa uzirudishe roho zetu kwenye viwiliwili vyetu ili tuuwawe katika Njia yako kwa mara nyengine tena. Pindi Mwenyezi Mungu atakapoona hawahitaji kitu chengine, wataachwa.” [Muslim]

Na naomba kwamba Sheikh Al-Zawahiri apate karama ambayo kwayo Mtume (saw) ameitaja,

«مَا أَحَدٌ يَدْخُلُ الْجَنَّةَ يُحِبُّ أَنْ يَرْجِعَ إِلَى الدُّنْيَا وَلَهُ مَا عَلَى الْأَرْضِ مِنْ شَيْءٍ إِلَّا الشَّهِيدُ؛ يَتَمَنَّى أَنْ يَرْجِعَ إِلَى الدُّنْيَا فَيُقْتَلَ عَشْرَ مَرَّاتٍ؛ لِمَا يَرَى مِنَ الْكَرَامَةِ»

Hakuna yeyote atakayeingia Peponi akapenda arudi duniani, haku akiwa na kila kitu ardhini isipokuwa Shahidi. Anatamani arudi duniani auwawe mara kumi, kutokana na ile karama anayoiona.” [Muslim]

Na namuomba Mwenyezi Mungu (swt) kwamba al-Zawahiri apokee ujira sita wa shahidi uliotajwa katika Hadith Sahih,

«لِلشَّهِيدِ عِنْدَ اللَّهِ سِتُّ خِصَالٍ يَغْفِرُ لَهُ فِي أَوَّلِ دُفْعَةٍ مِنْ دَمِهِ، وَيُرَى مَقْعَدَهُ مِنْ الْجَنَّةِ، وَيُجَارُ مِنْ عَذَابِ الْقَبْرِ، وَيَأْمَنُ مِنْ الْفَزَعِ الْأَكْبَرِ، وَيُحَلَّى حُلَّةَ الْإِيمَانِ، وَيُزَوَّجُ مِنْ الْحُورِ الْعِينِ، وَيُشَفَّعُ فِي سَبْعِينَ إِنْسَاناً مِنْ أَقَارِبِهِ»

Shahidi ana mambo mazuri sita mbele ya Mwenyezi Mungu: humsamehe katika mwanzo wa tone la kwanza la umwagwaji damu yake, huonyeshwa makaazi yake Peponi, huokolewa na adhabu ya kaburi, na hupewa amani kutokana na fazaiko kubwa, huvishwa taji la imani kichwani mwake, huozeshwa hur al-ain na hushufaiwa jamaa zake sabiini wa karibu.” [Muslim]

Na je, Marekani na mataifa mengine ya kikafiri wanaufikiriaje Umma wa Kiislamu? Je, utaiacha Jihad katika Njia ya Mwenyezi Mungu (swt) na kujitahidi kusimamisha utawala wa Mwenyezi Mungu (swt) ardhini? Wote watapata hasara tu na kushindwa kwa dhana zao!

Umma wa Kiislamu umehamasishwa na vyama, makundi, na mujahidina kwa miongo kadhaa, wakipambana dhidi ya ukafiri, watu wake na mawakala wake katika medani za kifikra na kisiasa, pamoja na viwanja vya vita vya Jihad. Huu si chochote ila tu ni wakati mmoja muhimu utakaoleta Nasr (Ushindi) wa Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mwenye kulazimisha. Hivyo basi Ummah na ujikusanye kwa ukamilifu wake kwa ajili ya nusra chini ya uongozi wa Khalifa, utakaowashinda madhalimu na wakandamizaji.

Mwenyezi Mungu (swt) amrehemu Sheikh, Daktari, Mujahid, Ayman Al-Zawahiri.

Imeandikwa kwa Ajili ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir na
Mhandisi Osama Al-Thuwaini – Wilayah Kuwait

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu