Jibu la Swali: Uzushi (Bid'ah) wa Kuwacha Masafa ndani ya Swala ya Jamaa
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hili hapa jibu la maswali juu ya Swala ya Ijumaa ambayo mumeuliza kuihusu:
Hili hapa jibu la maswali juu ya Swala ya Ijumaa ambayo mumeuliza kuihusu:
Shekhe wetu mkubwa, Mwenyezi Mungu azibariki juhudi zenu, aziongoze hatua zenu, akupeni kilicho bora zaidi, akudhalilishieni magumu, na atupe nguvu ya nusra ya dini yake.
Swali kwa Sheikh wetu katika Shakhsiya Juzuu ya Tatu ukurasa wa 301 msitari wa tatu na wa pili unasema: ama matagaa (furu') hukadiriwa kutoyafuata kuwa ni uovu basi hivyo haiitwi uongofu, niliambiwa kwamba neno "upotofu" linapaswa kuwekwa badala ya neno "uongofu.
Baadhi ya wanafikra katika nchi yetu, Indonesia, wanakataa kuregelea utumiaji wa sarafu za dhahabu na fedha, na kusema kuwa Shari'ah haiagizi kwamba pesa maalum zitumike, wakitumia dalili kwamba Umar ibn al-Khattab alidhamiria kutengeza dirham kutokana na ngozi za ngamia, je rai hii ni sahihi?
Assalam Aleykum, Hakika sisi tunajua kuwa murabaha kama fahamu inaruhusiwa kisheria, lakini naamini uhalisia wa sasa wa murabaha katika mabenki ya Kiislamu ni kinyume na Sheria, haswa kwa watu wetu huko Palestina,
Mada: Je, Zaka ni ibada ya kipeke yake?
Swali langu kwako, sheikh wangu, ni kuwa wauzaji magari na maonyesho ya magari wanapomuuzia mteja gari kwa malipo ya polepole, hawalisalimishi hadi hundi ya mwisho ya malipo
Assalam Aleykum wa Rahmatullah wa Barakatuh. Sheikh mpendwa, natumai Mwenyezi Mungu atakamilisha amri yake mikononi mwenu na atukirimu kwa Dola ya Khilafah karibuni, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu juu ya hilo…
Sheikh wangu, tafadhali niruhusu, niulize swali: mwanamke aliye poswa, endapo mumewe amefariki, je, ana eda? Je, atamrithi mchumba wake? Mwenyezi Mungu kulipe kheri iliyo bora.
Kwa wale wote waliotuma wakiniuliza kuhusu nafasi ya mita mbili baina mwenye kuswali na yule aliye baada yake wakati wa swala za Ijumaa na swala za jamaa…