Al-Waqiyah TV: Kwa Vijana wa Umma... Musikate Matumaini!
- Imepeperushwa katika Australia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ujumbe wa dharura wa Mhandisi Ismail Al-Wahwah (Abu Anas) Mwenyezi Mungu amrehemu
Ujumbe wa dharura wa Mhandisi Ismail Al-Wahwah (Abu Anas) Mwenyezi Mungu amrehemu
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Wabebaji Ulinganizi kote Ulimwenguni kwa Ujio wa Idd ul-Fitri Al-Mubarak
Hizb ut Tahrir inawapa pole mashahidi wa matetemeko ya ardhi yaliyoikumba Uturuki na Syria, na inamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu awaandike mbele yake kuwa ni mashahidi wa Akhera, ikisadikisha Hadith iliyopokewa na Bukhari na Muslim kutoka kwa Abu Hurairah
Tarehe mosi ya Rajab Al-Muharram mwaka huu wa 1444 Hijria, kampeni yetu itazinduliwa katika chaneli ya Al-Waqiyah ili kuwakumbusha Waislamu yale ambayo Mwenyezi Mungu amewaamrisha juu ya kazi ya kuregesha maisha kamili ya Kiislamu na kusimamisha Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya Utume ambayo Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) alitubashiria.
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam).
Katika muda wa wiki mbili zilizopita, kumekuwa na maandamano kote nchini Iran na katika sehemu zengine za dunia kujibu kifo cha Mahsa Amini, mwanamke wa Kikurdi mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa kutofinika nywele zake ipasavyo kwa Hijab na kupigwa hadi kufa akiwa chini ya ulinzi wao.
“Elizabeth Amekufa Huku Uhalifu wa Dola Yake Haujafa!”
Pongezi kutoka kwa Wabebaji Ulinganizi Kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd ul-Adha Iliyobarikiwa 1443 H
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Wabebaji Dawah Kote Ulimwenguni kwa Ujio wa Idd ul Fitr Iliyobarikiwa 1443 H
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa mwaka huu 1443 H - 2022 M silsila mpya ya video katika vipindi vya Al-Waqiah TV kwa anwani