Al-Waqiyah TV: Silsila "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!"
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari silsila mpya ya video kutoka kwa vipindi vya Al-Waqiyah TV zenye kichwa "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!"