Al-Waqiyah TV: Kampeni Pana yenye Kichwa “Je, Khilafah Inasimamishwa Vipi?”
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tarehe mosi ya Rajab Al-Muharram mwaka huu wa 1444 Hijria, kampeni yetu itazinduliwa katika chaneli ya Al-Waqiyah ili kuwakumbusha Waislamu yale ambayo Mwenyezi Mungu amewaamrisha juu ya kazi ya kuregesha maisha kamili ya Kiislamu na kusimamisha Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya Utume ambayo Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) alitubashiria.