Jumamosi, 25 Rajab 1446 | 2025/01/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Kitengo cha Wanawake cha Afisi Kuu ya Habari:

"Uchomaji Moto Maiti za Waislamu Waathiriwa wa Covid-19 kwa Lazima Nchini Sri Lanka, Tunapaswa Kujibu Vipi?"

Mnamo Aprili mwaka huu 2020, serikali ya Sri Lanka ilitoa kanuni inayoamuru kwamba wale wote wanaokufa kutokana na Covid-19 au ambao walikuwa na virusi vya ugonjwa huu wakati wa kifo walipaswa kuchomwa moto, bila kujali imani zao za kidini, wakitaja wasiwasi usiokuwa na msingi wa afya ya umma kama sababu yao ya kutekeleza sera hii. Tangu Aprili, Waislamu kadhaa nchini Sri Lanka wamechomwa moto. Inavyo eleweka, kuna hofu nyingi ndani ya jamii ya Waislamu nchini Sri Lanka leo, ambao wamekabiliwa na ghasia, kuonyeshwa kama wenye tishio na ubaguzi ndani ya jamii kwa miaka mingi. Sasa, hawawezi hata kutekeleza ibada za mwisho za kidini za wapendwa wao kwa amani. Majadiliano haya yatashughulikia jinsi Waislamu wanapaswa kujibu aina anuwai ya dhuluma na uonevu ambao Ummah wetu nchini Sri Lanka wanateseka.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 11 Disemba 2020 14:17

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu