Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Ushuru wa Trump Unasisitiza Haja ya Dharura ya kuwa na Uchumi Mmoja wa Kiislamu chini ya Kivuli cha Khilafah Rashida!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sisi ni Umma wa watu bilioni mbili, na Pato la Taifa ni $8.7 trilioni na usawa wa nguvu ya ununuzi ya $26.4 trilioni. Tuna akiba kubwa zaidi ya nishati na madini ulimwenguni, na idadi kubwa vijana changamfu. Sehemu inayokosekana ya mlingano huo ni uongozi mnyoofu wa kisiasa, Khilafah Rashida. Swali pekee lililobaki ni: Je, tuko tayari kupambana na kujitahidi kusimamisha dini ya Mwenyezi Mungu ndani ya dola ya Khilafah?