Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 505
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Ukraine katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”
Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Ubelgiji katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”
Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”
IMF ni taasisi ya kikoloni, na dori yake ni kudumisha utawala wa dolari ya Marekani kote duniani kupitia sera zake za kiliberali za uchumi mamboleo.
Mnamo tarehe 13 Julai, 2024, Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) ulithibitisha katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kwamba Pakistan na IMF wamefikia makubaliano ya kifurushi cha mkopo wa msaada wa dolari bilioni 7, wakidai kuwa “Programu hiyo mpya inalenga kuunga mkono juhudi za mamlaka za kuimarisha utulivu wa uchumi mkuu.”
Kwa nini Waziri Mkuu hataki kuwa muwazi kwa wananchi kuhusu jinsi watu watalazimika kumudu kifurushi hiki kipya.
Licha ya mateso tunayoyapata kutokana na yale yanayowapata ndugu zetu wa Gaza na madhehebu ya Mayahudi ambao wamekuwa wabaya kwa muda mrefu, dhalimu wa Uzbekistan anajitokeza dhidi yetu kwa kuwakamata mashababu wa Hizb ut Tahrir na kuwatishia kwa vitendo vya ukandamizaji ni yale yale waliyoshtakiwa kwayo na Karimov aliyekufa, na ambayo walifungwa kwa karibu miaka ishirini, mashtaka ya kubuni ambayo hayana ushahidi.
Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Uswidi katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”