Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 311
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 311
Vichwa Vikuu vya Toleo 311
Hizb ut-Tahrir / Australia iliandaa kisimamo mbele ya Ubalozi Mdogo wa Ufaransa jijini Sydney / Australia kukemea matusi kwa Mtume wetu mtukufu (saw), na hilo ni pamoja na msimamo wa mara kwa mara wa Ufaransa
Wilayah Syria: Maandamano katika Kijiji cha Babika "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu"
Halaiki ya watu wa kijiji cha Tel Karama viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).
Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Jordan inaomboleza kwa Umma jumla wa Kiislamu, Ndugu Jihad Abdulqadeem Zalloum, mmoja wa mashababu wa Hizb ut-Tahrir, na mtoto wa Amiri wetu na Sheikh aliyetangulia,
Sisitizo la Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa
Wito wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa kutoka Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa Uliotolewa na Sheikh Nidhal Swiyam (Abu Ibrahim) Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) Bait ul-Maqdis (Jerusalem)
Halaiki ya watu wa mji wa Sahara viungani mwa Aleppo ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na kulaani mabomu ya muungano wa makruseda.
Halaiki ya watu wa mji wa Armanaz viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).
Halaiki ya watu wa mji wa Tel Karameh viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).