Minbar ya Umma: Maandamano Katika Mji wa Deir Hassan ya Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Halaiki ya watu wa mji wa Deir Hassan viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).