Jumapili, 05 Rajab 1446 | 2025/01/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Filamu ya Makala: Ukinzani wa Idara ya Mahakama ya Uturuki katika Mashtaka Dhidi ya Hizb ut Tahrir!

Filamu ya makala iliyotayarishwa na jarida la Kokludegisim (linalochapishwa na Hizb ut-Tahrir nchini Uturuki) inaangazia mashtaka yasiyo haki ya idara ya mahakama ya Uturuki dhidi ya mashababu wa Hizb ut-Tahrir na ukinzani wa kimahakama katika hukumu zilizotolewa na utawala dhalimu juu yao. Mara nyengine shab wa Hizb anahukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani, na mara nyengine shab mwengine anaachiliwa huru, na shab mwengine anahukumiwa kifungo cha miaka 7 gerezani, hakuna hukumu ya wazi yenye kutekelezwa dhidi ya hizb, bali hukumu zote zinazotolewa kwenye mashtaka hayo ni za kisiasa zilizojengwa matakwa ya watawala! Hii ni kwa sababu utawala wa Uturuki unaiweka Hizb ut-Tahrir katika orodha ya mashirika haramu (ya kigaidi) yenye silaha, ilhali Hizb ut-Tahrir ni chama cha kisiasa kilicho tabanni mapambano ya kisiasa na mvutano wa kifikra ili kufikia lengo lake la kuregesha maisha kamili ya Kiislamu kupitia njia ya kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida yenye kuunganisha Umma wa Kiislamu ndani ya dola moja. Tangu ilipoanzishwa mwaka 1953, Hizb ut-Tahrir haijathibitishwa kuwa imefanya kitendo chochote cha kisilaha, si Uturuki wala katika nchi yoyote kati ya zaidi ya nchi 50 ambazo inafanya kazi ndani yake.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumatatu, 05 Dhul-Hijjah 1443 H sawia na 04 Julai 2022 M

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu