Jumamosi, 26 Ramadan 1442 | 2021/05/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

  Salaamedia – Redio ya Afrika Kusini: Serikali ya Sri Lanka Yatangaza Mipango ya Kufunga Zaidi ya Shule za Kiislamu 1000 na Kupiga Marufuku Burqa!

“Mnamo 13 Machi 2021, Waziri wa Usalama wa Umma wa Sri Lanka, Sarath Weerasekera, alitangaza mipango ya kufunga zaidi ya Madrassa 1000 na kuwapiga marufuku wanawake wa Kiislamu kuvaa Burqa ambayo iliita kwa ujuha kuwa ni "alama ya msimamo mkali wa kidini".

Mahojiano haya katika Salaamedia, Afrika Kusini na Dkt. Nazreen Nawaz Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, yalizungumzia jinsi hii ikiwa ni sura nyengine ya vitendo vya serikali ambayo inawatenga na kuwanyanyapaa Waislamu nchini humo ili kupata mapendeleo kutoka kwa sekta kubwa za kitaifa za jamii, pamoja na kucheza siasa na usalama wa kitaifa ili kuwalazimisha Waislamu kuachana na imani na matendo yao ya Kiislamu.

Jumatatu, 02 Shaaban 1442 H sawia na 15 Machi 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu