Jumatano, 07 Shawwal 1447 | 2026/03/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kupitishwa kwa Mswada wa Marekebisho wa SBP Kunabainisha kuwa Vyama vyote vya Kidemokrasia Vinalinda Maslahi ya Wakoloni.

Iwe ni kupitishwa kwa Mswada wa Marekebisho wa SBP, bajeti ndogo iliyoagizwa na IMF, sheria inayoendeshwa na FATF au sheria inayotoa haki ya kukata rufaa kwa Kulbhushan Jadhav, sasa ni wazi kwamba uongozi wote wa kidemokrasia, iwe katika kutawala au katika upinzani, wako kwenye ukurasa mmoja kuhusiana na kutimiza matakwa ya ukoloni wa kimataifa.

Soma zaidi...

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Chazindua Kampeni ya Kimataifa: “Khilafah: Yenye Kuhakikisha Hadhi, Usalama na Haki za Kisheria za Wanawake”

Mwezi wa Rajab unaashiria kumbukumbu ya kutisha ya kupotea kwa Khilafah zaidi ya miaka 100 iliyopita katika kalenda ya Hijri. Dola hii inayoongoza inayotawala kwa Uislamu siku zote ilisimama kama mlinzi wa hadhi, usalama na haki za kisheria za wanawake katika ardhi za Kiislamu na kwengineko

Warohingya Wakimbia Moto hadi Motoni; Ni Dola ya Khilafah pekee Ndio Itakayowaokoa na Kuwaregeshea Haki zao

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) liliripoti moto mkali katika kituo cha matibabu cha COVID-19 katika kambi ya Cox's Bazar nchini Bangladesh, ambayo huhifadhi wakimbizi wanaokimbia kutoka Myanmar, mnamo Jumapili alasiri, 9/1/2022.

Soma zaidi...

Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Mubarak Abdul Hameed

Kwa kujisalimisha kikamilifu kwa Qadhaa na Qadar ya Mwenyezi Mungu (swt), Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan inamuomboleza mmoja wa wanachama wake, ambaye alitumia ujana wake kubeba ulinganizi wa kurudisha tena maisha kamili ya Kiislamu, kwa kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, aliye samehewa kwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt):

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu