Ziara ya Netanyahu ni ya Maangamivu Ambayo Haistahiki Kufurahikiwa wala Makaribisho: Ni Wewe na Dola Yako Ndio Munao Nuka Harufu ya Damu Zisizo na Hatia za Watu Wasio na Ulinzi Wowote
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri Mkuu wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, kwa sasa yuko katika ziara rasmi ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika. Ziara yake ilianzia nchini Uganda, ikifuatiwa na Kenya, Jumanne 04 Julai 2016.