Alhamisi, 03 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hukumu za Kidhalimu dhidi ya Mashababu wa Hizb ut Tahrir ni Ugaidi na Ukandamizaji

Mahakama ya Rufaa ilikubali uamuzi wa Mahakama ya Usalama wa Dola, iliyowahukumu Mashababu wawili wa Hizb ut Tahrir kifungo cha miaka minne jela kila mmoja; kwa tuhuma za kuwa ndani ya Hizb ut Tahrir, na uchochezi dhidi ya utawala wa Jordan, na hiyo ilikuwa ni kinyume na usuli wa kupata machapisho na vitabu vya hizb majumbani mwao, ambapo kwa hilo tunasema:

Soma zaidi...

Enyi Maafisa wa Jeshi la Pakistan! Mutamjibu Nini Mwenyezi Mungu (swt), Pindi Mwenyezi Mungu (swt) Atakapowahisabu kwa Kutojiletea Nafsi Zenu, Vifaru Vyenu, Silaha Zenu na Makombora Yenu katika Hatua ya Mara moja, Kuutokomeza Uvamizi Halifu wa Kiyahu

Katika kipindi cha siku mbili za maumivu, Waislamu arubaini na nne wakiwemo watoto wameuawa shahidi, huku zaidi ya mia tatu wakijeruhiwa, kutokana na mashambulizi ya kikatili ya wanajeshi wa Kiyahudi kwa Ukanda wa Gaza, Palestina, ambako hata hospitali haikusazwa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu