Jumanne, 03 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Jordan

H.  12 Jumada II 1444 Na: 1444 / 11
M.  Alhamisi, 05 Januari 2023

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Inatosha Udhalilifu, Shutma, na Uombaji kwa Umbile la Kiyahudi na Wafuasi wake Waovu!

Majeshi ya Umma Na Yalimalize Umbile hili Katili ndani ya Saa Moja!
(Imetafsiriwa)

Kabla ya watawala wa Misri na Jordan kuhitimisha makubaliano ya udhalilishaji na fedheha pamoja na umbile la Kiyahudi na kutambua uwepo wake katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina na iliyo na Misikiti wa tatu kwa utukufu baada ya misikiti miwili Mitukufu, Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, viongozi wa Kiyahudi walikuwa wakiomba na kutapata kwa ajili ya kufanya amani na mtawala yeyote wa Kiarabu ambaye atawapa amani na utambuzi, kuanzisha mahusiano ya kawaida na kubadilishana mabalozi nao. Haikutokea kwa watawala hawa, au walijua na kusisitiza juu ya matendo yao, kwamba Mayahudi wana sifa ya hila, uchokozi na kiburi, na kwamba hawana ahadi ya heshima au makubaliano ya kuhifadhi. Haijalishi namna tawala hizi zitakavyofanya makubaliano na kuhalalisha mahusiano, mapatano na usaliti, zimeangukia katika udhalilifu na fedheha mbele ya watu wao katika kujaribu kuboresha vitendo vyao vya kuchukiza, na Mayahudi hawakatai chochote isipokuwa kiburi na unyang'anyi wa watawala hawa kwa uchokozi zaidi, mauaji na uhamisho wa watu wa Palestina. Mayahudi wanasisitiza juu ya kiburi chao na unyang'anyi wa watawala hawa kwa uchokozi zaidi, mauwaji na kuwahamisha watu wa Palestina, ya mwisho yake ikiwa ni uvamizi wa Waziri mpya wa Usalama, Ben Gvir, katika Msikiti wa Al-Aqsa chini ya ulinzi wa Majeshi ya Kiyahudi, kama alivyotanguliwa na viongozi wengine wa Mayahudi wenye chuki na hii haitakuwa ya mwisho.

Katika kujibu uvamizi wa Itamar Ben Gvir kwenye Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kama waziri katika serikali mpya ya Kiyahudi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan, kama kawaida, tangu kuwepo kwa balozi wa Kiyahudi jijini Amman kwa masuala kama hayo, haikufanya chochote isipokuwa kumwita mnamo Jumanne kwenye makao makuu ya wizara, ili kufikisha ujumbe wa kupinga kitendo cha Ben Gvir kwenye Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na kupuuza onyo la mfalme wa Jordan lililotangazwa kwenye CNN siku chache zilizopita kwamba uchokozi kama huo unaweza kusababisha uasi ambao unahujumu misingi ya amani na suluhisho la dola mbili.

Umbile hilo halifu la Kiyahudi linaendelea na jinai yake katika Palestina yote na ukatili wa kila aina, ikiwemo mauaji, kubomoa nyumba, ukamataji, kutesa na upanuzi wa makaazi, na sio tu uvamizi wa Msikiti wa Al-Aqsa, kana kwamba ni kwa madhumuni ya udhamini na kinachosemwa kuhusu kuhifadhi hali ya sasa, ni ile ambayo Wizara ya Mambo ya Nje inapinga dhidi yake kwa ajili ya uthabiti wa utawala huo katika kulinda udhamini kana kwamba ni kadhia ya Palestina, na inaungwa mkono na Baraza la Wawakilishi ambalo limezembea katika kuunusuru Ummah wake, na viongozi wa Kiyahudi wote ni wahalifu, hakuna tofauti kati yao, iwe ni watu wenye misimamo mikali kama Netanyahu na Ben Gvir au Lapid mliberali anayeunga mkono suluhisho la dola mbili, ambaye wakati wa muhula wake, Wapalestina 220 waliuawa shahidi na nyumba 832 na majengo yalibomolewa. Hakuna tofauti baina yao isipokuwa katika kiburi cha kuonyesha au kuficha unyama wao kama uhadaifu kwa ulimwengu na kuunga mkono tawala zenye kuhalalisha mahusiano ni uzembe na utegemezi. Mwenyezi Mungu (swt) asema:

[لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا]

Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. [Al-Ma’idah 5:82].

Inasikitisha kwamba umbile la Kiyahudi halipati isipokuwa shutma miongoni mwa watawala wa nchi yetu, na kwamba hawana tatizo nao licha ya uhalifu wao na kuendelea kwa uchokozi wao, kwani hawawazingatii hata kidogo, bali wanajiamini kwamba watasimama na umbile lao katika kuhalalisha mahusiano yao kwa gharama yoyote ile. Pia hawajali kuhusu kile kinachoitwa jumuiya ya kimataifa au Baraza la Usalama, ambalo litafanya kikao kulingana na malalamiko yaliyowasilishwa na Jordan na Palestina kuhusiana na suala hili, na wanachozingatia zaidi ni upinzani wa Amerika kwa kila kitu ambacho kingehujumu mipango na maslahi yao. Suluhisho la dola mbili, kubadilisha hali ya sasa na uchokozi unaovuruga eneo hilo, iwe kupitia uasi mkubwa au vuguvugu kubwa dhidi ya watawala wake, inahujumu maslahi yake katika eneo hilo.

Enyi Waislamu... Enyi Watu wa Jordan: Hizi ndizo taasubi za Mayahudi, watawala wenu, na makafiri wa kikoloni wa Magharibi. Inajulikana kwa kila mtu, sio leo tu, bali tangu Mayahudi waliponyakua ardhi ya Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa. Je, kuna mtu yeyote mwenye akili timamu ambaye hatambui kwamba jibu la jinai za Mayahudi ni kwa harakati tu ya majeshi pekee yanayotamani jihad na kufa shahidi ili kuliondoa umbile la Kiyahudi na kuirudisha Palestina yote kwenye ardhi za Uislamu?! Mwenyezi Mungu (swt) asema:

[وَإِنِ اسْتَنصَرُوكُمْ فِي الدِّينِ فَعَلَيْكُمُ النَّصْرُ]

Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia.” [Al-Anfal 8:72].

Je, hakuna mtu razini asiyetambua kwamba kukomesha uchokozi wa Mayahudi si kwa kupitia shutma za kufedhehesha au kwa kupitia kuiomba jumuiya ya kimataifa inayosimama pamoja na umbile hili katika uwezeshaji na usaidizi?! Siku zitauonyesha ulimwengu, unaoongozwa na Marekani na Ulaya, kwamba Waislamu wana nguvu iliyofichika ambayo pindi inapo taharaki, milima itaporomoka, na Mayahudi wataona kwamba safari yao ya kuwa chombo cha Magharibi na uhakikisho wa watawala wa Waislamu katika kuwadhuru Waislamu na kuyakalia kimabavu majumba yao na matukufu yao watalipia gharama kubwa zaidi kuliko wanavyodhania, kwani saa ya jihad imekaribia na wakati wa kupigana umewadia. Ni wakati wa kuwanusuru Waislamu wa Palestina na nchi zote za Kiislamu zinazokaliwa kwa mabavu.

[وَلَا تَرْكَنُوا إِلَى الَّذِينَ ظَلَمُوا فَتَمَسَّكُمُ النَّارُ وَمَا لَكُمْ مِنْ دُونِ اللَّهِ مِنْ أَوْلِيَاءَ ثُمَّ لَا تُنْصَرُونَ]

Wala msiwategemee wanao dhulumu, usije ukakuguseni Moto. Wala nyinyi hamna walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, wala tena hamtasaidiwa.” [Hud 11:113]

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Jordan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Jordan
Address & Website
Tel: 
http://www.hizb-jordan.org/
E-Mail: info@hizb-jordan.org

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu