Sasa Ni Zamu ya Johor Kuituhumu Hizb ut Tahrir!
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mamlaka kadhaa za kidini nchini humu zinaonekana kupoteza muelekeo na taaluma katika kutekeleza uaminifu uliowekwa mabegani mwao. Lengo lao, linaonekana sasa ni kuzichochea harakati za Kiislamu ambazo hawakubaliani nazo, kutafuta kosa lolote kwa harakati hiyo, na ikiwa hawakuweza kupata kosa lolote, wanapanga njama ya kuichafua harakati hiyo.



