Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 438
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani “Al-Aqsa Yaomba Nusra kwa Majeshi”
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 57 Ramadhani 1444 H - April 2023 M
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Killi viungani mwa Idlib kwa anwani “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Je, sio wakati wa Takbira za Al-Masjid Al-Aqsa, kuzigonga nyoyo za majeshi ya Kiislamu?!
Je, sio wakati wa vilio vya wanawake watukufu wa Ardhi Tukufu, kutikisa nguzo za wakuu wa majeshi katika majeshi ya Kiislamu?
Kibla cha kwanza cha Dini yetu, sehemu iliyobarikiwa ya Isra’a na Miraji ya Mtume (saw), imenajisiwa katika mwezi mtukufu zaidi wa Ramadhan. Quran Tukufu, ambayo iliteremshwa katika mwezi huu uliobarikiwa, imechanwa na kuangushwa chini bila kujali.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa "Msikiti wa Al-Aqsa unayaita Manajeshi ya Pakistan!" ili kusisitiza ukweli wa kisheria kuhusiana na kadhia ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kwamba ni ardhi ya Kiislamu inayokaliwa kwa mabavu na Mayahudi makafiri
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Atma “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Deir Hassan “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Kafr Takharim “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”