Jumatatu, 13 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Milipuko ya Mibaya na Mioto Inayoendelea ni Kufeli kwa Mfumo wa Kisekula kwani daima humlinda Raisi wa Nchi kutokana na Kuwajibika kwa Matukio haya na Watu

Bangladesh inashuhudia mfululizo wa matukio mabaya ya moto moja baada ya jengine katika miaka kadhaa iliyopita ambayo yamesababisha vifo vya watu wengi na kujeruhiwa. Pigo la sasa lilisababisha milipuko mitatu mfululizo ndani ya siku nne pekee.

Soma zaidi...

Zaka juu ya Bidhaa za Biashara

Namaanisha, zaka ya bidhaa za biashara ni thamani ya bidhaa inayotolewa kwa ajili ya kuuzwa, thamani ya kuiuza kutoka kwa mlipaji zaka kwa wateja wake, sio thamani ambayo mlipaji zaka anainunulia kwayo!

Ikiwa nilinunua simu za rununu 10,000 na kuziuza kwa 15,000. Zaka itakuwa kutokana na 15,000.

Je, hii ni sahihi?!

Soma zaidi...

Pongezi kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, kwa Wanaozuru Kurasa zake kwa Mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa Mwaka 1444 H Sawia na 2023 M

Kwa Umma bora ulioletwa kwa ajili ya wanadamu... Umma wa Kiislamu ambao Mwenyezi Mungu ameutukuza kwa utiifu Wake...

Kwa wabebaji Da’wah ambao biashara wala uuzaji haviwashughulishi na kumkumbuka Mwenyezi Mungu...

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu