Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 319
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 319
Vichwa Vikuu vya Toleo 319
Kuchapishwa tena kwa gazeti la tashtiti la Kifaransa la Charlie Hebdo lenye msururu wa katuni za mabishano zinazomchora Mtume Muhammad (saw) kunakoashiria mwanzo wa mashtaka juu ya shambulizi katika afisi zake mwaka 2015,
Mwanzoni mwa ujumbe huu kulimaanisha jitihada zisizochoka kwa ajili ya Dini hii. Mwenyezi Mungu (swt) ameteremsha kuhusiana na Sayyidna Muhammad (saw),
Kalima ya Dkt Lisaad Al-Ajili, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilayah ya Tunisia, na kalima ya Ustadh Khabib Karbaka, mwanachama wa Afisi ya Habari,
Vidonda vyenye kuchuruzika damu mwilini mwa Umma wa Kiislamu ni vingi na vinaongezeka kwa kukosekana kwa ngao ya ulinzi na mlezi Khalifah; mojawapo ni janga la Waislamu wa Sri Lanka.
Akitia taaliki ombi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini Uturuki kwa kuhukumu ya kifungo cha miaka 52.5 kwa wazungumzaji wanne katika Kongamano la Khilafah lililopangwa kufanyika mnamo 2017 na ambalo lilipigwa marufuku bila sababu yoyote.
Tafadhali unga mkono #FreeNaveedButt Kimbunga cha Twitter mnamo 26/12/2020
Siku ya Ijumaa, 12/18/2020, ilitangazwa kuwa serikali itaundwa chini ya uongozi wa Moein Abdel-Malek, yenye mifuko 24, iliyogawanyika kwa usawa kati ya Kaskazini na Kusini.
Kurudi kwa Uislamu kama umbile la kisiasa; Dola ya Khilafah, ingali inawatia tumbo joto mno nchi za Magharibi,
Watoto wa Nigeria Watatishwa Mpaka Lini?!