Jumatatu, 23 Muharram 1446 | 2024/07/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezo ya Kuinusuru Gaza “Sisi Sio kwamba ni Watu Tunaowahurumia Watu wengine, bali Sisi ni Umma Mmoja”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa kichwa “Sisi Sio kwamba ni Watu Tunaowahurumia Watu wengine, bali Sisi ni Umma Mmoja” kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauwaji wahalifu.

Soma zaidi...

Viongozi Viziwi, Mabubu, Vipofu wa Ulimwengu wa Kiislamu wanaipa Marekani na Dola ya Kiyahudi Ruhusa ya Kutekeleza Mauwaji ya Halaiki kwa Wapalestina

Katika kipindi cha wiki chache zilizopita na ndani ya masaa 48 yaliyopita, dola ya Kiyahudi imeivamia Gaza kwa kiwango kisicho cha kawaida ambacho hakijashuhudiwa katika kumbukumbu za sasa. Kigugumizi kilichoushika uongozi wa ulimwengu wa Kiislamu kimevunja rekodi zote za kukosa uaminifu na usaliti.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu