Jumatatu, 23 Muharram 1446 | 2024/07/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Umma wa Muhammad Umeachwa Unazama kwenye Mafuriko ya Matope na Takataka Bila ya Khilafah

Gazeti la ‘The Guardian’ liliripoti kuwa baadhi ya maeneo ya Gaza yanakabiliwa na mafuriko makubwa wakati wa msimu huu wa baridi baada ya usiku wa mvua kubwa na upepo mkali.  Maeneo yaliyoathiriwa ni pamoja na kambi za wakimbizi za Jabalia. Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa zaidi ya 85% ya raia wa Gaza sasa wamekimbia makaazi yao; wengi wao ni wanawake na watoto.

Soma zaidi...

Je! Ukoloni wa Kimarekani Umeweza Kunasa Sura ya Ukoloni wa Kiingereza, Vikosi vya Uhuru na Mabadiliko, kwa Mara Nyingine Tena?!

Mnamo Jumanne 2/1/2024, vyombo vya habari vilichapisha maandishi ya tangazo la mwisho la mazungumzo ya uratibu kati ya Vikosi vya Kirai vya Kidemokrasia "Taqadum" (sura mpya ya Vikosi vya Uhuru na Mabadiliko) na Vikosi vya Msaada wa Haraka, ambayo yalifanyika katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, na yalitiwa saini na Waziri Mkuu wa zamani Hamdok, mkuu wa uongozi wa "Taqadum", na Mohamed Hamdan Dagalo Hemedti, kamanda wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir Inatoa Rambirambi zake kwa Shahid Sheikh Saleh Al-Arouri na Wenzake

Ujumbe kutoka Mashababu wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Lebanon uliwasilisha salamu za rambirambi kwa ajili ya shahid Sheikh Saleh Al-Arouri, ambaye hivi karibuni alipoteza maisha katika mji mkuu Beirut. Rambirambi hii ilitolewa katika nyumba ya maombolezi iliyoandaliwa kwa ajili yake na wenzake katika Ukumbi wa Quds katika kambi ya Nahr El-Bared, kaskazini mwa Lebanon.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu