Janga nchini Amerika lahitaji mabadiliko ya kifikra!
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Muongo baada ya muongo hali inarudi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mamlaka yaliyoko yameshindwa kuunganisha mujtamaa.
Muongo baada ya muongo hali inarudi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mamlaka yaliyoko yameshindwa kuunganisha mujtamaa.
Video Inayo tokana na Jibu la Swali, “Athari za Virusi vya Korona” la mwanachuoni mkubwa wa fiqh, Sheikh Ata Bin Khalil Abu Al- Rashta, la tarehe 26 Machi, 2020.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo katika Kambi ya Karamah, "Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika (Geneva - Astana - Sochi) = Kumalizika kwa Mapinduzi na Kurudi Mikononi mwa Serikali!"
Tafadhali waweza kutoa upokezi na usahihishaji wa Hadith hii katika upande wa usahihi, nguvu, udhaifu, na kuitumia kwake kama dalili, shukran:
Idara ya Facebook mnamo asubuhi ya 4 Juni iliufunga ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia...
Kwa kubwaga jukumu lake kimakusudi juu ya Uvamizi wa India Kashmir, serikali ya Bajwa-Imran inajifunga tu na vitisho vya kujibu mashambulizi juu ya mashambulizi katika Mpaka wote wa Udhibiti.
Polisi wamewaua kwa kuwapiga risasi mtu mmoja na watoto wake wawili kwenye uvamizi wa usiku katika kaunti ya Kwale Kusini mwa Pwani ya Kenya.
Maandamano makali juu ya kifo cha George Floyd yamelipuka kwa siku tano mtawalia mnamo Jumamosi katika miji kote nchini Amerika, kuanzia Philadelphia hadi Los Angeles ambapo magari ya polisi yaliteketezwa moto na ripoti za majeraha kuripotiwa pande zote mbili.
Nataka muongozo kutoka kwako, kwani nimechanganyikiwa, sijielewi mimi ni nani, nakuomba kwa jina la Mwenyezi Mungu nifanye nini?
Kuhusiana na janga la ugonjwa wa virusi vya Korona nchini Pakistan, kutakuwepo na matangazo maalum inshaaAllah mnamo Jumamosi 16 Mei 2020 saa 10:30 usiku (PST)