Vipi Khilafah Itazuia Dhuluma za Kisiasa?
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Demokrasia, uhuru wa rai na haki ya kumchagua na kumhisabu mtawala, ni miito inayo pigiwa debe chini ya serikali za kibinadamu zilizoko leo duniani, lakini, urongo wa miito hii hudhihirika pindi mtu binafsi au kikundi cha watu kinapozikashifu serikali hizi na ufisadi wao, au kinapodai haki ambayo wameipoteza au majukumu ambayo serikali hizi zimefeli kutimiza kwa watu wake.