Pande Zinazozozana Zinawaongoza watu wa Yemen kutoka Moto hadi Moto, Kuwatumikia Wakoloni...Enyi Watu wa Yemen, Jihadharini na Moto wa Bwana wa Ulimwengu
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Watu wa Yemen wanaendelea kukumbwa na moto wa mzozo baina ya Uingereza na Amerika, ambao umekuwa ukitanda nchini mwao kwa karibu miaka mitatu. Mzozo huu na mapigano yameharibu mazao na wanyama. Na licha ya mateso ya watu wa Yemen kutokana na njaa, umaskini, ukosefu wa huduma za kimsingi...



