Jumanne, 24 Muharram 1446 | 2024/07/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Amerika: Amali Pana za Kuyataka Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa!

Hizb ut Tahrir / Amerika iliandaa amali pana katika miji mbali mbali kutoka Amerika Mashariki hadi Magharibi yake zikiyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki kwa ajili ya kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wanyakuzi.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Afghanistan: Msururu wa Makongamano ya Kunusuru na Kuomba Nusra kwa ajili ya Ukombozi wa Msikiti wa Al-Aqsa!

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Afghanistan iliandaa msururu wa makongamano na amali kubwa zilizohudhuriwa na maelfu ya watetezi na waungaji mkono wanaotaka kutaharaki kwa majeshi ya Waislamu ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wahalifu katili.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Kikao cha Kutafuta Nusra kwa ajili ya Watu wetu huko Gaza, na Kuyaomba Nusra Majeshi, na Kuyataka Yatangaze Jihad!

Kwa mwaliko kutoka kwa Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon, Swala ya Ijumaa iliswaliwa pamoja na kikao cha utafutaji nusra katika "Uwanja wa Al-Nour" jijini Tripoli Al-Sham kwa kichwa "Nusra kwa watu wetu huko Gaza na kuyaomba nusra majeshi ya Umma na kuyataka kuvunja mipaka na kutangaza jihad.”

Soma zaidi...

Al-Waqiyah TV: Ujumbe wa Haraka “Kama hamwendi atakuadhibuni adhabu chungu, na atawaleta watu wengine.” [Al-Tawba: 39]

Kwa kuwaombea nusra Waislamu kupitia kuangushwa viti vya watawala wasaliti na kusonga kwa majeshi ili kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wahalifu.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu