Jumanne, 24 Muharram 1446 | 2024/07/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir/ Uholanzi: Semina Maandamano ya Halaiki yenye Kichwa "Ikomboeni Palestina!"

Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa maandamano ya halaiki yenye kichwa "Ikomboeni Palestina" katika mji wa Amsterdam mnamo Jumapili 22/10/23 saa nane adhuhuri na kukamilika kwa kuyaomba majeshi na viongozi wake kutaharaki na kusonga kwa ajili ya kuikomboa Ardhi iliyobarikiwa ya Palestina.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Amerika: Kisimamo mbele ya Ubalozi wa Uturuki cha Kuyaomba Nusra Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa

Mbele ya ushujaa waliouonyesha Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kudumu kuushambuliwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake na ulipuaji wake mabomu unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Kisimamo mbele ya Ubalozi wa Marekani “Niko hapa kama Muislamu!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 33,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa amali mbele ya Ubalozi wa Marekani jijini Ankara chini ya kichwa:

“Niko hapa kama Muislamu… Mfurusheni Myahudi Bliken!”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali ya Matembezi: “Gaza Haifi Maadamu Nyinyi muko Hai!”

  

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 23 elfu hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali pana Chini ya kichwa:

“Gaza Haifi Maadamu Nyinyi muko Hai!”

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Wito wa Dada kutoka Palestina kwenda kwa Majeshi ya Waislamu!”

Waislamu wa Gaza wanakabiliwa na mauaji ya kimbari na umwagaji damu ambao umepitiliza mikononi mwa umbile halifu la Kiyahudi. Maelfu ya wanawake wasio na hatia na watoto wameuawa. Wakati huo huo, Waislamu katika Ukingo wa Magharibi wangali wanauawa na kutishiwa na genge la Mayahudi.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Uswidi: Ujumbe Mbele ya Ubalozi wa Uturuki nchini Uswidi!

Mbele ya ushujaa mujahidina wameudhihirisha katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya  umbile nyakuzi la Kiyahudi, ambalo linaendelea kuushambulia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake wa kuendelea na kudumu wa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili la kihalifu katika wiki mbili zilizopita dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali “Ijumaa – Majeshi kwenda Al-Aqsa”

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linachoendelea na kudumu katika shambulizi lake linaloendelea kwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu wa Ukanda wa Gaza ambao umekuwa ikiendelea kwa miaka 17

Soma zaidi...

Enyi Askari katika Majeshi ya Waislamu, “Hivyo, hamna hata mtu mmoja miongoni mwenu aliye ongoka?” [Hud:78]

Ni karibu mwezi mmoja sasa tangu uvamizi mkubwa wa wanyakuzi wa Kiyahudi huko Gaza, pamoja na Ukingo wa Magharibi, na Lebanon. Wamewauwa watu, wazee, wanawake na watoto, na wameharibu miti na mawe katika vitendo vilivyo zidi uhalifu wote na zaidi ya aina yoyote ya uvamizi! Ilhali watawala bado wamekaa kimya, na wanapozungumza, ni kuhesabu idadi ya waliokufa shahidi, kujeruhiwa, na maeneo yaliyoharibiwa.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu